Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024.







Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi iliyoko Wilaya Chato mkoani Geita Waziri Kigwangala, alimkabidhi Rais Magufuli mfano wa sanamu la Mwalimu Nyerere, huku watu mbalimbali wakidai sanamu hilo halina uhalisia na Mwalimu Nyerere.



Written by Mjanja M1 ✍️
 
Tanzania chini ya Uongo thabiti wa Mwl.Nyerere Ilimwaga damu ya watu wake(Wanajeshi walioenda kupiga Nchi zingine? Ilitumia Rasilimali Fedha na muda Kwa Ajili ya kufundisha na kusaidia Nchi mbalimbali ambazo zilikuwa zinapambana na Wakoloni.

On top of that tulihifadhi Hadi Wakimbizi wao na kuwalisha Bure lakini juhudi zetu hizo hazijawahi kutambuliwa na kuthaminiwa vya kutosha hapa Afrika.

Baada ya miaka Mingi baadae eti Leo AU ndio Wanakumbuka kujenga Sanamu ya Mwl.Nyerere kumpa heshima ambayo alistahili miaka Mingi iliyopita.

Nelson Mandela Kwa msukumo wa Wazungu ndio anaabudiwa hapa Afrika wakati hakuna chochote Cha maana alichosaidia Afrika zaidi ya kuwasamehe Wazungu.

Nchi ambazo Tanzania imezisaidia Moja kwa Moja ni South Africa,Namibia,Angola, Mozambique, Zimbabwe, Zambia, DR Congo, Uganda, Burundi na Rwanda.

Hata Sasa tunaendelea kuzisaidoa Nchi nyingi tuu kwenye masuala mbalimbali.



My Take
Tanzania tunastahili Zaidi na ilitakiwa hata AU HQ iwe Tanzania sio Ethiopia.

Ni vyema AU Secretariet ikafikiria kuweka Makao Makuu ya baadhi ya taasisi zake Tanznaia Ili kuenzi mchango wa Nchi yetu.

Hakuna Nchi nyingine iliyojitolea kuzidi Tanzania.
 
Huyo ni mbowe maana si kwa hizo gwanda za chadema!
 
Sio Nyerere kabisa boraahata Ile ya Kingwangala😁😁😁😁

Hivi huwa hawazikagua kabla????????

Mambo ya ajabu sana
 
Aliyepewa tender na AU atakuwa yuleyule fundi wa kinyago cha Kigwangalla Burigi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…