Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024.
View attachment 2907853
View attachment 2907854
View attachment 2907855
Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi iliyoko Wilaya Chato mkoani Geita Waziri Kigwangala, alimkabidhi Rais Magufuli mfano wa sanamu la Mwalimu Nyerere, huku watu mbalimbali wakidai sanamu hilo halina uhalisia na Mwalimu Nyerere.
View attachment 2907856
✍️Mjanja M1