Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024.

View attachment 2907853

View attachment 2907854

View attachment 2907855

Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi iliyoko Wilaya Chato mkoani Geita Waziri Kigwangala, alimkabidhi Rais Magufuli mfano wa sanamu la Mwalimu Nyerere, huku watu mbalimbali wakidai sanamu hilo halina uhalisia na Mwalimu Nyerere.

View attachment 2907856

✍️Mjanja M1
Kumbe upigaji mpaka AU.
Aliyepewa tender na AU atakuwa yuleyule fundi wa kinyago cha Kigwangalla Burigi
Hl
Nyerere gani sasa huyo😂😂
Yaan kuna, MTU asiyejua, kutengeneza, sanamu kapewa pesa ya bure kabisa.
 
Aliyezinduliwa ni Kwame Nkrumah sio Julius Nyerere.

Marekebisho kwenye eneo la kichwa cha sanamu hakina mfanano na mlengwa mwenyewe Mwalimu Nyerere,
..ni jambo jema kuwa na sanamu ya Mwalimu Nyerere pale Addis Ababa Ethiopia, Lakini jambo jema kuna na sanamu yenye mfanano na Mwalimu Nyerere. * KAMA ITAWAPENDEZA SERIKALI ICHUKUE JUKUMU LA KUFANYIA MAREKEBISHO SANAMU HIYO kuendana na mfanano wa Mwalimu Nyerere hususani KICHWA NA SURA IWE KAMA YA MFANO WA MWALIMU NYERERE.
 
Je huyu ni Julius Nyerere?
 
Attachments

  • IMG-20240218-WA0338.jpg
    IMG-20240218-WA0338.jpg
    47.3 KB · Views: 3
  • IMG-20240218-WA0319.jpg
    IMG-20240218-WA0319.jpg
    42.6 KB · Views: 1
Huyu Nyerere mbona kama Muethiopia jamani?
Bora hata Nyerere wa Kigwangallah 🤣

Na hii ni kubwa, inawekwa mahali pa kihistoria kubwa. Tumekosa wataalamu watutolee kama ile ya Mandela? Dah
 
Kizazi cha elf 2000 akimjui mwalimu sidhani kama ni sahihi inabakia TU ni historia
Weweeeeee! Ukimtoa Nyerere kwenye historia huna taifa linaitwa Tanganyika/Tanzania. Sasa wewe ni raia wa wapi? Hata hao unaowashobokea mataifa yao yamejengwa juu ya misingi ya waasisi wao! Kalaghabao
 
Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024.

View attachment 2907853

View attachment 2907854

View attachment 2907855

Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi iliyoko Wilaya Chato mkoani Geita Waziri Kigwangala, alimkabidhi Rais Magufuli mfano wa sanamu la Mwalimu Nyerere, huku watu mbalimbali wakidai sanamu hilo halina uhalisia na Mwalimu Nyerere.

View attachment 2907856

✍️Mjanja M1
Huyo atakuwa Nyerere wa Ethiopia..
 
Acha nicheke tu, daaa kama alikuwa anakula saruji maisha yake yote. Watu earache utabi na maisha ya watu bana. This is serious
 
Mbona sura inafanana kama ya yule Chawa Mbobezi Steve Nyerere.
 
Back
Top Bottom