Makubwa,yenye manufaa kwa jamii, makubwa yapi, kumng'oa mkoloni? Ili kusudi mjitawale, halafu unatawala kwa sheria zile zile dhalimu za mkoloni ???? Nini lilikuwa dhumuni la kujitawala ?
Enheeee, matusi na undava.
Vintage Julius Nyerere when he was losing an argument. Archetypical Julius Nyerere.
1967 aliwaita wenzie malaya aliposhindwa kutetea hoja ya ujamaa. Akasema atawakamata atawaanika, ata prove his point, he never did.
1969 viwanja vya mnazi mmoja, Nyerere alimteka Waziri mtenguliwa Kassim Hanga Msasani akamleta viwanjani Mnazi Mmoja kumzodoa kwa matusi. Kasim Hanga hakuonekana tena.
1970's and 1980's mashuleni chipukizi wa CCM tulikuwa tunaimbishwa, "Kambona Kaolewa, Wapi, Huko Ulaya, na nani...." Kamuzu Banda katuvalia shanga za mkewe, kututishia Watanzania, hatujali, hatujali....." Watoto wadogo tunafundishwa nyimbo za matusi ya ki-gay kwa chuki za Nyerere kwa aliotofautiana nao.
1983 aliwaita wapumbavu na wachu wa madaraka waliomwambia huu Muungano wako, nchi ya sq km 943,000 na shamba la sq km 2000, make it make sense. Kakamata, katukana, katia kizuizini. Umetawala miaka 29 (24+5), unapataje moral standing ya kushutumu wenzio kwa uchu wa madaraka ? Those that know know. Foul language, recrimination and repression of dissent were the hallmark and legacy of Julius Nyerere in Tanzania's body politic.