GE2025 PICHA: Sura za wanaodaiwa ni Askari walioshiriki kuua maelfu ya Watanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tupia picha na waliochoma mali za watu ili tuwatambue pia.
Hivi mwizi akikutwa na Mali ya wizi na ikichomwa analaumiwa mchomaji?
Ndio maana wakati wakati wa Magu wavuvi Haramu wakikamatwa nyavu zao zil8chomwa na hatukuhoji
 
Tupia picha na waliochoma mali za watu ili tuwatambue pia.
Unajifanya hujui aliye sababisha hayo unayodai hapa? Huyo ni Samia Suluhu Hassan, ambaye ndiye mfugaji wako , nguruwe wewe.
Hovyo kabisa.
 
Hivi mwizi akikutwa na Mali ya wizi na ikichomwa analaumiwa mchomaji?
Ndio maana wakati wakati wa Magu wavuvi Haramu wakikamatwa nyavu zao zil8chomwa na hatukuhoji
Mfano wako hauendani
 
halafu ukishawatambua ndio iweje? vp kuhusu aliyewatuma? kwangu mimi hapo ndipo focus inapotakiwa kuwekwa na siyo hao ...
Kweli.
Pia tujadili namna ya kupata access ya internet mbeleni kukiwa na sintofahamu kama hii. Habari ni haki yetu. Tuanzishe mjadala mpana kwa hili na kwa nguvu ya umma inawezekana. Wachokoza mada anzisheni nyuzi watu watoe points, hivi ndio vitu vya kufanyia kazi kutetea utu wetu.
Mfno katiba mpya-kukipa madaraka chama kitakachokuwa na ajenda ya hii kitu,
 
Mali zinarudi ila maisha ya watu kama uhai ndo basi tena don’t support violence against people .. ni Aibu aseee
Kama hausapoti Violence, unatakiwa kuanzia kwa wale Wahalifu waliokuwa wakiiba na kuharibu mali. Muwaambie hatukuwatuma haya mliyofanya.
 
Tupia picha na waliochoma mali za watu ili tuwatambue pia.
Mrs Mwigulu Nchemba wa Esther Luxury Bus Coach, naona umeumizwa sana na Mali zenu kupigwa moto

By the way, Mali iliyopatikana kwa wizi na kwa njia haramu hupotea kwa njia hizo hizo haramu. Hii ni natural principle kama ulikuwa hujui..

Na unaulizia uoneshwe waliofanya hivyo? Basi sina shaka kuwa kumbe wewe ni mjinga na mpumbavu kabisa maana macho unayo, lakini masikini wa akili wewe huoni!!

Waliofanya hivyo wako very visible, hawakujificha, ni waandamanaji maelfu kwa maelfu nchi nzima, wananchi wenye nchi yao wenye hasira Kali..

Nendeni mkajaribu kuwakamata hao muone kama mtaweza..
 
Kuna polosi ni traffic huku mtaani kwetu wapiga shaba watu wawili hakuna cha mercenaries wala nini ni hao hao polisi wetu
 
Fikirishi but very possible. AI inayouwezo mkubwa wa ku identify patterns ambazo sisi binadamu hatuwezi kuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…