PICHA: Ukweli wa asili ya Deo Ndejembi - Mama yake alikuwa na asili ya Kiarabu

Bado hamjasema, hadi mseme.
 
Mwarabu au mpare?
 
Dah wabongo kweli hamnazo!.
Marekani ilimchagua kina Obama na Kina Kamala wote hao ni mixed nationalities ,shida kwani ipo wapi wakuu??
Kwamba hujaona samuya anavyoifanya Tanganyika??

Halafu huyu mtetezi ni chawa, machawa na propaganda/uongo ni 🤞
 
 

Attachments

  • 1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 10
Dah wabongo kweli hamnazo!.
Marekani ilimchagua kina Obama na Kina Kamala wote hao ni mixed nationalities ,shida kwani ipo wapi wakuu??
Sasa unataka Tanzania tuwe Marekani? Tutaanzia wapi mkuu 'Nisepe'.

Sikubaliani na wazo la kubaguana asili zetu, lakini pia hatuwezi kuiga kiholela tu huko kwingine wamefanya nini.
 
Mama yake na Deogratias Jonh Ndejembi alikuwa ni muarabu mwenye asili ya Tanzania, yaani chotara wa kiarabu kutokea pale kongwa hivyo maujinga ya kumuita kuwa ni mzanzibar ni rohi mbaya,husda,uchimvi ,uchawi na ukigagula kwa taifa letu
Kwa kuwa umejipa ujuwaji wa asili ya hawa watu, sasa tueleze huyo mama yake yupo wapi. Umeeleza habari za mzee Ndejembi, sasa eleza za huyo mama, yuko wapi?

Samia anahangaika sana sasa, hawaamini tena wasiokuwa na asili kama yake.
 
Kale malaya ambako hata hakuja kwenye mazishi ya baba yake ni kapumbavu na hapa kame jionyesha ni kana udini wenye chuki kali sana
Katafia hukohuko, kanaishi kwa kuomba hela wazungu, si muda watakachoka
 
kwa hiyo jamaa kumbe ni 3/4 black.. ubaguzi wa rangi haufai ,ilimradi ni raia wa tanzania.. sidhani kama ni dhambi kuwa VP ,tumpime katika utendaji wake wa kazi.

obama ni half black - half white na bado wamarekani walimkubali!
Na walivyo wapumbavu wanalazimisha kuwa ni muislamu
Kama kale kamalaya kanakofirwa huko kenya kameaandika bila aibu
 
Kwanini inatumika nguvu kubwa namna hii kuuaminisha uma asili ya mtu? Kwani vetting ya taifa ina kazi gani?
Je rangi na asili yake vina umuhimu kuliko medulla yake?
Nguvu hii inatumika sana ili kuziba ujinga, upumbavu, na upuuzi mliotumia nguvu kueneza humu jamii forum kuhusu mamake na vp..

Ukitumia nguvu kueneza upumbavu wako, nguvu hzo hzo zitatumika kuondoa huo ujinga!

Utapokelewa utakavyokuja!
 
kwa hiyo jamaa kumbe ni 3/4 black.. ubaguzi wa rangi haufai ,ilimradi ni raia wa tanzania.. sidhani kama ni dhambi kuwa VP ,tumpime katika utendaji wake wa kazi.

obama ni half black - half white na bado wamarekani walimkubali!
Suala si rangi bali ni Upemba wake, kama utendaji pekee ndiyo kigezo kwanini wanalazimisha mgombea na running-mate wawe wanatokea pande mbili za muungano?
Pamoja na kwamba Samia amechaguliwa kihuni ndiyo nchi on top of that ipachikiwe VP asiyeeleweka?
NB: Chawa wa GSM kupachikwa u-VP hiyo ni mipango ya Msoga gang na si vinginevyo.
 
Mzee alimpasa kufanya kipimo cha DNA, mtoto kafanana mno na jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…