Mods naomba uzi huu usiungwe kule
Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi.
Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada wakubwa wa CCM na kiongozi mkongwe wa CCM Mkoani Dodoma Alihudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa miaka 25 kuanzia mwaka 1982 hadi 2007.
Pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wote wa CCM wa Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani hadi alipong'atuka mwaka 2007.
Mzee Pancras Ndejembi ana asili ya kabila la Gogo (Wagogo), kutokea Mkoani Dodoma, chimbuko la asili yake ni kutokea katika Kijiji cha Mkonze, kilichopo Wilaya ya Dodoma mjini, na hapo ndipo Mzee Pancras Ndejembi alipozikwa baada ya kufariki dunia mwishoni mwa mwaka 2018.
Mama yake na Deogratias Jonh Ndejembi alikuwa ni muarabu mwenye asili ya Tanzania, yaani chotara wa kiarabu kutokea pale kongwa hivyo maujinga ya kumuita kuwa ni mzanzibar ni rohi mbaya,husda,uchimvi ,uchawi na ukigagula kwa taifa letu
Kupotosha ili ionekane ametokea Zanzibar ni mipango ya kuvuruga Muungano wetu ,mshikamano na amani ya taifa letu pedwq
Deo ni mgogo asili kabisa wa Tanzania ,tuwapuuze
USSR
View attachment 3658483
RAISI mzanzibar
Makamu mzanzibar
Ndipo utakapozielewa akili ndogo mno za wanachadema hilo wameheuza hoja kwa msaada wa maria sarungi,the highest stupidity point...Kwanini inatumika nguvu kubwa namna hii kuuaminisha uma asili ya mtu? Kwani vetting ya taifa ina kazi gani?
Je rangi na asili yake vina umuhimu kuliko medulla yake?
Such a silly dayb reply😂Ndipo utakapozielewa akili ndogo mno za wanachadema hilo wameheuza hoja kwa msaada wa maria sarungi,the highest stupidity point...
Yaani hata hajifichi, mtu anaonekana wazi ni kutoka chake chake, Lol.
Ndiyo imegeuka hoja kwao! In my silly!😃Such a silly dayb reply😂
Mzee alimpasa kufanya kipimo cha DNA, mtoto kafanana mno na jirani.
Ndiyo imegeuka hoja kwao! In my silly!😃
Ni sawa na kulinganisha nyau na chui kwa kuwa wote ni jamii ya paka.Dah wabongo kweli hamnazo!.
Marekani ilimchagua kina Obama na Kina Kamala wote hao ni mixed nationalities ,shida kwani ipo wapi wakuu??
Mods naomba uzi huu usiungwe kule
Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi.
Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada wakubwa wa CCM na kiongozi mkongwe wa CCM Mkoani Dodoma Alihudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa miaka 25 kuanzia mwaka 1982 hadi 2007.
Pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wote wa CCM wa Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani hadi alipong'atuka mwaka 2007.
Mzee Pancras Ndejembi ana asili ya kabila la Gogo (Wagogo), kutokea Mkoani Dodoma, chimbuko la asili yake ni kutokea katika Kijiji cha Mkonze, kilichopo Wilaya ya Dodoma mjini, na hapo ndipo Mzee Pancras Ndejembi alipozikwa baada ya kufariki dunia mwishoni mwa mwaka 2018.
Mama yake na Deogratias Jonh Ndejembi alikuwa ni muarabu mwenye asili ya Tanzania, yaani chotara wa kiarabu kutokea pale kongwa hivyo maujinga ya kumuita kuwa ni mzanzibar ni rohi mbaya,husda,uchimvi ,uchawi na ukigagula kwa taifa letu
Kupotosha ili ionekane ametokea Zanzibar ni mipango ya kuvuruga Muungano wetu ,mshikamano na amani ya taifa letu pedwq
Deo ni mgogo asili kabisa wa Tanzania ,tuwapuuze
USSR
View attachment 3658483
Wajinga snaTena wanavyo fanana labda waseme Babake anasura ya Kizanzibar 🤠🤠
Mana jamaa wahun sn!i lengo lao kuu Tanzania kuwake MOTO 💥💥💥💥💥
sijui watapata faida gani!! mshangao wenyewe bado wana ndugu zao Tanzania Chuki zao zinaenda mpaka kwa
Ndugu zao❗️
Wale ni adui zetu kwa Pamoja✍️
Vyawa akili kurukwa na akili ni crucial party of their ritualwewe ndio hamnazo tena hamnazo kweli kweli.
It is specifically Article 47(3) of the Constitution. It states that a person should be nominated for Vice-President on the basis that if the President comes from one part of the United Republic, the Vice-President should come from the other part of the Union.
Takwa la kikatiba mkuu, usiweke mahaba kwenye jambo la kisheriaWabongo ni wabaguzi sana
Kama ulivyo wewe mbwa mwitu,unawajuwa mbwa mwitu wenzakoSura zenye asili ya kiarabu hazifai kabisa, hazina utu, hazina ubinadamu...ingekuwa ni nyimbo ningesema machoni kama watu kumbe mbwa mwitu
Mgogo wa Dodoma,ni mzanzibari?Tumia akiliIshu sio uarabu wake, ishu ni uzanzibari, je ni mzanzibari? Maana rais na makamu wake haiwezekani wote wawe wazanzibari katiba haisemi hivyo