PICHA: Ukweli wa asili ya Deo Ndejembi - Mama yake alikuwa na asili ya Kiarabu

Safi sana
 
Comments zinachekesha sana
Mmetawala miaka zaidi ya 60 ila bado ni masikini wa kutupwa
Bado tunahangaika na Kabila na dini na asili ya mtu

Latin America kuna nchi 11 zilitawaliwa na wafanya biashara wenye asili ya kiarabu na wao ndio waliwachagua

Tatizo letu hatujui utawala bora
Rais aliepita aliitwa majina ya kila aina
Sijui tunataka mtu wa kutoka wapi atuongoze ili nchi isonge mbele.

Sidhani kama Utanganyika tu ndio unatosha kuongoza nchi
 
Wagogo na sisi tushike nafasi za juu
Safi sana
 
Looks like people are trying to Remind us something. if the head is from Zanzibar the second should be from mainland. Am not sure whether its constitutional or Norm.
Ni katiba, rais akitoka upande mmoja wa muungano, vp atoke upande mwingine, na kwa Tanzania kipimo cha Utanzania wa mtu ni mmoja wa wazazi wake kuwa Mtanzania, na kwa urais ni awe Mtanzania kwa kuzaliwa. Kuna watu wana data, Abedi Karume hakuzaliwa Zanzibar, alikuja kutoka Malawi, tuhuma za Mtikila kuhusu rais wetu fulani, kuzaliwa Msumbiji akaja Tanzania akiwa na miaka 6 tulizisikia, mwana jf mwenzetu humu, Mkuu britanicca , akatoa data humu za kijana mmoja aliyeitwa Katto, alizaliwa kwa jirani, akaja Tanzania na umri wa miaka 7, akabadili jina na kabila, akasoma Tanzania, akawa rais wetu!. Kwa upande wa kitu kinachoitwa vetting, sisi Tanzania ni nil, ndio maana nilishauri https://www.jamiiforums.com/threads...-asili-halisi-za-viongozi-wetu-wakuu.1406753/

P
 
Sijui kwa nini watu hawaelewi mantiki ya wanaohoji kuwa wanahoji kwa mujibu wa ibara hii ya katiba, na sio ubaguzi.
 

nirahisi zaidi mtu kutoka Bara kushinda ubunge Zanzibar, Lakini siorahisi kabisa Mzanzibari kushinda ubunge Bara
 
Sasa hapo hoja ya mtoa Uzi ni kuwa ikatokea Zanzibar au mama yake ni muarabu?
 
Sura zenye asili ya kiarabu hazifai kabisa, hazina utu, hazina ubinadamu...ingekuwa ni nyimbo ningesema machoni kama watu kumbe mbwa mwitu
Dah,watu weusi yawezekana ndio watu wabaguzi kuliko, ila hatuonekekani sababu ni masikini
 
Na walivyo wapumbavu wanalazimisha kuwa ni muislamu
Kama kale kamalaya kanakofirwa huko kenya kameaandika bila aibu
Inasemwa na wewe huwa mnafirika pamoja naye huko huko Kenya! Inashangaza sana Aisee!
 
Hakuna waarabu mwenye asili ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…