Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Kazeni wa kwenu jamani!!! Mlimuandama Tiffa weeeh saivi kimya!!! Mmehamia kwa Nillan.
Hayo mashavu ndo yanawachanganya!
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona kaamua kuwajibu sasa diamond si useme wewe ndio umeandika haya
 

Attachments

  • 14716634_1125139927555794_5756648347339325440_n.jpg
    21.3 KB · Views: 67
Naamini diamond atakua keshampima zamaaani, nyie mnahangaika huku.
Nakumbuka hata mtoto wa kwanza mlitaka kumgombanisha, likawashuka.
 
Mahusiano ya diamond na zari ni long distance relationship,chochote chaweza kutokea
 
Nyie hamjui kuwa Zari alimchukia sana Ivan wakati akiwa mja mzito, ndo maana kazaa mtoto kafanana na Ivan, kwani hamjui hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…