PICHA: Wananchi Kariakoo wamgomea aliyejitambulisha kama Polisi kuondoka na mtuhumiwa

Bado kidogo tu... jeshi la polisi lijitathimini namna linafanya utendaji kazi wake, limepoteza uaminifu , askari wake wanaonekana kama majambazi mitaani,
Zamani ilikuwa mtuhumiwa akijaribu kuleta upinzani wananchi wanawasaidia polisi. Hali imekuwa tofauti...
 
Huyo Askari aliyevaa kanzu ndo askari kanzu au ametokea kuswali?
 
Duh,
Ukute ni watekaji hap..
Kwa sasa inafaa mtuhumiwa aambiwe kituo anachotakiwa, aende mwenyewe tena kwa kusindikizwa.

Polisi hawaaminiki tena.
Lucas Mwashambwa
 
Hao ni wa kupigwa tu na kuchomwa moto
 
Wahuni hao,pigeni mikanda
 
Safi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…