Kuharibu vitu sio njia sahihi ya kutuma ujumbe kwakuwa serikali mwisho wa siku itawakamua wananchi ili ipate fedha za kurekebisha hiyo miundombinu.Kumbe Stroke pamoja na kuwa mwanasiasa nuda mrefu bado una uelewa mdogo wa mambo, hapa tuongeler msingi wa tatizo na sio matokeo.
Nchi yetu muda wa kuilinda ni sasa. Unamwambia mtu aheshimu miundo mbinu wakati kafiwa na ndugu tena kikatili? Atajali?
Niwaombe wakuu wa Nchi na ulinzi wachukue hatua haraka kuzuia haya.
Sudani ina madini mengi kuliko Tz lkn inawaka moto daily, sisi sio kisiwa
Kuna ujumbe mkubwa zaidi unaoletwa na hao watu kwa waTanzania wote.Yaani wanaona fahari kuua watu? Kisa tu raia hawana silaha? Hivi waafrika tuna laana gani? Yaani utadhani yenyewe itaishi milele!!
Hakuna Mauaji yatakayotokea tena,acha wogaAise hii ni hatari sana kwa umoja wa kitaifa. Mhe Rais afanye kitu. Hata kwa kutuzuga. Nimeota ndoto. Watu wakiandamana hali itakuwa mbaya sana. Zaidi ya hii iliyo tokea tarehe 29. Serikali, viongozi wa dini, mashirika ya kiraia na haki za binadamu. Nawaomba sana mkae chini mjadiliane otherwise kuendelea kutambishiana matamko siyo sali aise
Lakini akili yako haikupeleki upande wa pili kujiuliza kama "kuua" hao watu ndiyo njia pekee ya kuzuia huo uharibifu.Kuharibu vitu sio njia sahihi ya kutuma ujumbe kwakuwa serikali mwisho wa siku itawakamua wananchi ili ipate fedha za kurekebisha hiyo miundombinu.
Badala ya fedha kwenda kufanya mambo mengine zinatumika kurekebisha vitu vilivyoharibiwa makusudi.
Sisi bado tunajitafuta halafu tunajikwamisha wenyewe.
Sikupingi Mr Stroke, msisitizo wangu ni kueleleza Macho kwenye Chanzo.Kuharibu vitu sio njia sahihi ya kutuma ujumbe kwakuwa serikali mwisho wa siku itawakamua wananchi ili ipate fedha za kurekebisha hiyo miundombinu.
Badala ya fedha kwenda kufanya mambo mengine zinatumika kurekebisha vitu vilivyoharibiwa makusudi.
Sisi bado tunajitafuta halafu tunajikwamisha wenyewe.
It's harder to imagine this is happening right here, in Tanzania!Sometimes I wonder if we deserve this…
Manake haiingii kabisa akilini.
Upole na ukondoo wa Watanzania unanikera sana.It's harder to imagine this is happening right here, in Tanzania!
Hawa watu miaka yote walikuwa wapi. Why now. Is it even necessary?
Samia angeweza kutawala tu kirahisi kabisa hapa bila ya mambo ya namna hii.
Unfortunately, she is wrecking her own boat while she is at the deepest part of the ocean
Hakuna watu wanaowafahamu hawa mazafakas? Familia zao zinastahili kupelekewa hellish experience zinayopitia familia za wahanga wa unyama wao.
Ila kuua watu ni sahihi?Kuharibu vitu sio njia sahihi ya kutuma ujumbe kwakuwa serikali mwisho wa siku itawakamua wananchi ili ipate fedha za kurekebisha hiyo miundombinu.
Badala ya fedha kwenda kufanya mambo mengine zinatumika kurekebisha vitu vilivyoharibiwa makusudi.
Sisi bado tunajitafuta halafu tunajikwamisha wenyewe.
Kuna gharama za kurestore order.Lakini akili yako haikupeleki upande wa pili kujiuliza kama "kuua" hao watu ndiyo njia pekee ya kuzuia huo uharibifu.
Hii njia ya kuua watu nani kaianzisha ndani ya nchi hii?
Kwa nini uhai wa watu ukose thamani hata ndogo tu ya kuthaminiwa.
Mwanao akivunja mkokoteni wako hapo nyumbani unamwadhibu kwa kumuua?
Mhe rais ni nani? Muuaji hatakiwi kuitwa mheshimiwa hata siku mojaAise hii ni hatari sana kwa umoja wa kitaifa. Mhe Rais afanye kitu. Hata kwa kutuzuga. Nimeota ndoto. Watu wakiandamana hali itakuwa mbaya sana. Zaidi ya hii iliyo tokea tarehe 29. Serikali, viongozi wa dini, mashirika ya kiraia na haki za binadamu. Nawaomba sana mkae chini mjadiliane otherwise kuendelea kutambishiana matamko siyo sali aise
Hizo akili ndio uzitumie wewe, kabla ya hizo Tar nani alifuatwa..?? Ujinga wenu ndio umeponza wasio na hatia...Waliouliwa mitaani na majumbani mwao tarehe 30 na 31 waliharibu miundo mbinu gani?Kuna wakati jaribu kutumia akili kufikiri.
Na uhai atakamuliwa nani ili urud?Kuharibu vitu sio njia sahihi ya kutuma ujumbe kwakuwa serikali mwisho wa siku itawakamua wananchi ili ipate fedha za kurekebisha hiyo miundombinu.
Badala ya fedha kwenda kufanya mambo mengine zinatumika kurekebisha vitu vilivyoharibiwa makusudi.
Sisi bado tunajitafuta halafu tunajikwamisha wenyewe.
Kumjibu ni kumpa sifa asizokuwa nazo.Waliouliwa mitaani na majumbani mwao tarehe 30 na 31 waliharibu miundo mbinu gani?Kuna wakati jaribu kutumia akili kufikiri.