PICHA: Wauaji wa vijana kwenye maandamano wakijitapa mtandaoni

Jinsi wanavyoandika unaona kabisa ni empty set kichwani...hili taifa ni hasara kila upande
 
Njia gani ya kufikisha massage hivi mdude na kina ali kibao waliouawa walitumia walofanya vurugu wapi?
 
Wapeni vijana HAKI ya kuchagua viongozi wanaowataka.

Bila hivyo hicho unachokiita kurestore order ni ubatili tu. Kinaenda kudeepen resentment na hiyo ndiyo hali halisi kwa sasa.
 
Kuna suali huwa najiuliza uki download app ya JF inataka permission ya kushare picha za kwenye simu. Hivi nikikubali si wanaweza ona picha zangu hawa wahuni?.
Sina utaalamu huo ila
Kwa nilivyooona hawa wadau wa mauaji wakiandika nyuzi kwa bashasha
Aisee kuna makatili humu kuliko uzanivyo
Usikutane na mtu jf jaman
 
Kwa nini JF inakuruhusu kuongea upumbavu wako hapa tena kwenye mtandao uliofungwa na serikali unayoitetea? Melo naye namuona ni dhaifu sana, maqumer kama ninyi mlitakiwa kufutiwa ID zenu hapa JF
 
Tusidanganyane hapa. Hii nchi ya Kusadikika haina Rais.
 
We Bwege,
Yule mtoto wa miezi kadhaa alimfanyia nani fujo!?,Master Tindwa na wengineo ambao ushahidi upo kwamba walifatwa mpaka majumbani kwao walimfanyia nani fujo!?

Inafikia hatua mpaka Traffic Police anashika bunduki kuua raia!! ******** Wallahi
 
Hata Mimi niliota watu walikua wamevaa tshet za njano vijana hasa wengi
 
Anaeweza kucheza na AI awavue kofia hawa ******* tuanze nao kabla ya d9
 
Mtu anaefananisha mali na uhai wa watu huyo ni maskini wa kutupwa
e
 
Kwa nini JF inakuruhusu kuongea upumbavu wako hapa tena kwenye mtandao uliofungwa na serikali unayoitetea? Melo naye namuona ni dhaifu sana, maqumer kama ninyi mlitakiwa kufutiwa ID zenu hapa JF
Melo anazingua hawa ni kufutiwa I'd kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…