Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,090
- 13,527
Sio tu kujihuzulu, saiv tunataka hachukuliwe sheria stahiki, damu haiwezi kwenda hivi hivikinachotakiwa ni samuya kujiuzulu tofauti na hapo moto moto ....risasi ,maiti hatuogopi tena vichwa vyetu na mioyo yetu imejaa hasira kwa ndugu yangu kufatwa ndani na kupigwa risasi..haita isha hadi isshe
Unaishi nchi gani?Hizo akili ndio uzitumie wewe, kabla ya hizo Tar nani alifuatwa..??
Niambie lini na wapi walijaribu ikashindikanaUkiona hivyo, maana yake njia zingine zote zilisha shindikana
Mbona madai yao yamesemwa mara nyingi:-
1. Kukomesha utekaji na mauaji
2. Kukomesha wizi wa uchaguzi
3. Tume Huru ya Uchaguzi (siyo mzaha wa iNEC)
4. Katiba Mpya, hasa kwa mwelekeo wa Rasimu ya Warioba iliyosheni maoni, mapendekezo, na matakwa ya umma
5. Kukomesha ufisadi
6. Kukomesha uonevu kwa wananchi
We kum@ nini ? Ali kibao , mdude ,chaula , soka , sativa , kipanya ,manengelo , na wengine wengi hao walifuatwa kwenye mkundyu wako sio ? ,watu wanatekwa na kuteswa na kuawa Kama wanyama halafu we unaandika Ukum@ hapaHizo akili ndio uzitumie wewe, kabla ya hizo Tar nani alifuatwa..?? Ujinga wenu ndio umeponza wasio na hatia...
Kuna tofauti ya msingi kati ya hao na upande wa pili? Au pengine ndio wana wajibu? Tazama hapo chini.
Tena masikini wa nafsi ,akili na mwiliMtu anaefananisha mali na uhai wa watu huyo ni maskini wa kutupwa
e
Nami nikuulize:Niambie lini na wapi walijaribu ikashindikana
kwanini tunchoma vibaka wanao iba simu, fedha, pikipiki? hatuthamini mali dhidi ya uhai ktk hayo?Mtu anaefananisha mali na uhai wa watu huyo ni maskini wa kutupwa
e
Kwanini kama jamii hatukusimama kidete mara baada ya JPM kusema katiba mpya si kipaumbele chake?Nami nikuulize:
Ni lini na wapi umma walikubaliana na watawala kuendeleza utekaji, mauaji, wizi, ufisadi?
Kuhusu Katiba Mpya kwa mfano, ni tangu kabla na wakati wa Tume ya Katiba ya Warioba, na hakuna jipya hadi sasa..
Haya bwana.. Ila muda utasema
Labda watangnyika siasa hamuijui vizur,day one 1964 siku ya muungano wazanzibar wanauwa kama kuku,,na waliokuwa wanayafanya hayo ni watanganyika kisasi ni haki kuna miaka 10 mbele ya mama lazima mtanyookaBaadhi ya hawa watu tunao humu JF.
Watu kama 'Stakehigh' na 'Stuxnet' siyo watu wa kawaida hata kidogo.
Hao watu kwenye picha hapo juu walionekana kwenye picha nyingine wakiwa na Bunduki, kwa hiyo hao ni wazi kabisa ni wahusika wa mauaji
Anae uwa kwa upanga lazima auwawe kwa upanga , hawa wakijaa kwenye 18 inatakiwa kila siku kukata pingili moja ili wajue utamu wa kifo, nimechafukwa sana wana wa mungu niombee.
Sio mda zanzibar itakua moja ya mkoa wa Tanganyika , tunza hiiLabda watangnyika siasa hamuijui vizur,day one 1964 siku ya muungano wazanzibar wanauwa kama kuku,,na waliokuwa wanayafanya hayo ni watanganyika kisasi ni haki kuna miaka 10 mbele lazima mtanyooka
Acha upuuzi watanganyika mkae kwa kutulia,toka mwaka 1964 wazanzibar wanauwawa mlikua mpo kimyaaa watanganyika,kaingia mama juzi tu hata kazi hajaanza vizur mnaanza kulialiaHii inatokea kwenye nchi ya kusadikika afrika tu (dubai, south afrika, labda kongo kwa utajiri tukonazo sawa tu kwanini zimendelea kuliko sisi? shida ni viongozi wasiokuwa wazalendo, na wabinafsi yaani pesa wanaiba ndani wanahifadhi uswisi, ni afrika pekee utaona hii, mzungu hawezi kuchota ulaya pesa ahifadhie afrika matumizi ya akili tu waafrika si hatuna), nchi zilizostaarabika huwezi kuta aliyeshikilia mpini akifanya mauaji ya wanaonyonywa kwa kodi wakidai haki zao, maswali ni mengi kuliko majibu, je huyu mfalme juha yuko pale kwa maslahi ya wananchi? kweli yaani analazimasha kubakia ili awaletee maendeleo?:
Sasa tufanyeje:
1. watawala wa aina hii tuwakatae, tusiwaheshimu hata kwa kutumia akaunti feki, tuwazomee wakitoa hutuba, wasipate amani kabisa kwenye utawala wao, watawala wasioheshimu maisha ya wengine.
2. Swali la msingi(mengine yote yanajibika) linabaki kwa hawa waliotuua? Hawa wanaotupa hukumu isiyolingana na kosa, thamani ya sheli au mwendokasi hailingani na uhai wa mtu mmoja abadani na tuheshimiane tusilinganishe uhai na vitu vya hovyo, dharau hizo! Tupunguze unyonge mapolisi tunaishi nao tuwasalimie