Picha ya dunia kutoka umbali wa Kilomita Bilioni Sita (06). Halafu kuna watu wanafikiri uwepo wao duniani ni kwa bahati mbaya

kipi kinacho thibitisha uwepo wa mungu kutokana na hio picha?
 
Kabisa, hao wenye utundu wa kufika huko ni ma atheists wenye imani wangeachwa wasimamie kila kitu, naona dunia hii bado tungekuwa tunatumia majazi na ngamia
 
Ni chombo cha anga za mbali ndio kilipiga hio picha
Hio lenzi ya aina gani inaweza kupiga picha umbali wa mita bilion6?
Halafu mambo yamevumishwa miaka 2000 tu hapo, wakati dunia ina miaka zaidi ya bilioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…