Picha ya dunia kutoka umbali wa Kilomita Bilioni Sita (06). Halafu kuna watu wanafikiri uwepo wao duniani ni kwa bahati mbaya

Picha ya dunia kutoka umbali wa Kilomita Bilioni Sita (06). Halafu kuna watu wanafikiri uwepo wao duniani ni kwa bahati mbaya

kipi kinacho thibitisha uwepo wa mungu kutokana na hio picha?
 
Hiyo picha kuna nafasi kubwa ikawa imepigwa na Atheist

Atheist ambaye amekuwa akizurula huko angani kukusanya taarifa ili ashee nasisi

Kwa hiyo yeye ndio alikuwa mtu wa kwanza kuanza kufikiria complex ya hiyo picha kabla yako.

Picha imemfikia mtu ambaye hajawahi hata kaa kwenye kilele cha ghorofa kupata view ya mji, anaanza kuitolea picha maelezo kuwa ni Mungu
Kabisa, hao wenye utundu wa kufika huko ni ma atheists wenye imani wangeachwa wasimamie kila kitu, naona dunia hii bado tungekuwa tunatumia majazi na ngamia
 
Ni chombo cha anga za mbali ndio kilipiga hio picha
Hio lenzi ya aina gani inaweza kupiga picha umbali wa mita bilion6?
Ulimwengu ni fumbo, hakuna anayejua kiini, sababu ya uwepo wake, mwanzo wala mwisho wake.

Kukoseka kwa hivyo vyote kulimfanya mwanadamu atengeneze chanzo na kukiita mungu.(ambacho nacho hakijulikani mwanzo wala mwisho wake)

Hiki chanzo ni cha muda na hubadilika kadri ugunduzi wa kisayansi unavyoweka bayana baadhi ya yaliyojificha(uhalisia).
Halafu mambo yamevumishwa miaka 2000 tu hapo, wakati dunia ina miaka zaidi ya bilioni.
 
Back
Top Bottom