Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, hao wenye utundu wa kufika huko ni ma atheists wenye imani wangeachwa wasimamie kila kitu, naona dunia hii bado tungekuwa tunatumia majazi na ngamiaHiyo picha kuna nafasi kubwa ikawa imepigwa na Atheist
Atheist ambaye amekuwa akizurula huko angani kukusanya taarifa ili ashee nasisi
Kwa hiyo yeye ndio alikuwa mtu wa kwanza kuanza kufikiria complex ya hiyo picha kabla yako.
Picha imemfikia mtu ambaye hajawahi hata kaa kwenye kilele cha ghorofa kupata view ya mji, anaanza kuitolea picha maelezo kuwa ni Mungu
Hio lenzi ya aina gani inaweza kupiga picha umbali wa mita bilion6?Ni chombo cha anga za mbali ndio kilipiga hio picha
Halafu mambo yamevumishwa miaka 2000 tu hapo, wakati dunia ina miaka zaidi ya bilioni.Ulimwengu ni fumbo, hakuna anayejua kiini, sababu ya uwepo wake, mwanzo wala mwisho wake.
Kukoseka kwa hivyo vyote kulimfanya mwanadamu atengeneze chanzo na kukiita mungu.(ambacho nacho hakijulikani mwanzo wala mwisho wake)
Hiki chanzo ni cha muda na hubadilika kadri ugunduzi wa kisayansi unavyoweka bayana baadhi ya yaliyojificha(uhalisia).
Huamini?Hio lenzi ya aina gani inaweza kupiga picha umbali wa mita bilion6?
Nimeshangaa na naendelea kushangaa.Kuna watu wanaamini story za UFOs??
Hatari tupuNimeshangaa na naendelea kushangaa.
Hicho chombo cha UFO, hao jamaa wanaonekana eneo fulani tena marekani tu na si kwingineko, haijawahi kusikika UFO wametua Pyanyang au DRC huko!.