Picha ya Kufungulia mwaka 2025 hii hapa, Imepatikana Mikocheni

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Sema wote ni mabingwa wa kuigiza. Full UNAFIKI, u- SNITCH na huku chuki inawatafuna wote slowly
Siasa za hivi zimewashinda kabisa ccm, chama cha mbeleko ya vyombo vya dola. Wao ni kutekana, kampeni za kumtukuza mwenyekiti ili kupata vyeo.

Uchaguzi wa cdm umerejesha ladha ya chaguzi za ushindani wa kisiasa tunazozitegemea, sio zile chaguzi za kishenzi chini ya ccm. Tunaona midahalo na kujinadi waziwazi kwa wagombea. Inshort cdm wanafanya siasa za level ya juu sana.
 
Hivi lugha ya chadema ni kizungu? Au hiyo slogan ya 'stronger together imelengwa kwa wale wana diaspora wa TAL na mabeberu? Kwa nini isiwe 'Umoja ni Nguvu"?

Anyway, hapo Mbowe anaonekana kijana zaidi kuliko Lissu. Kweli age is just a number!
Shule za Kata alizoanzisha Lowassa ndio zimetusukuma kuandika kiingereza
 
Hivi CCM hawana fomu za makamu mwenyekiti tarehe 18 na 19?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…