Kuna cyber law inayotakiwa kupitishwa bungeni, yeyote atakayekuwa anasambaza picha za namna hii atachukuliwa sheria. hata kama ulitumiwa wewe utakaye-resend pia utakuwa responsible. FUTA DELETE KABISA
Makubwa wa huku na kule ni wale walee, ogopa boko haram sio michambo
Ndo nimeipat picha hatimaye, duh kwel watu wanaweza aiseeh, kitu chote hadharan kama kweli vile
Sijatoka PM naiongojea mkuu, najaribu kuvuta picha jinsi yule mama alivyo lakn bado sijaipata, nisaidie tafadhali
Mmh ndugu hata sion sehemu ya kutuma photo, sijui ushamba au nn
ha ha ha........ we sema tu hauna picha bwana
Nakuaminia ukiuangusha nipm jamani pleaseKwenye habar za udaku sidanganyagi, ebu kaa mkao wa kula soon ntaiangusha jukwaan
Nakuaminia ukiuangusha nipm jamani please
ha ha ha........ we sema tu hauna picha bwana
Kuna cyber law inayotakiwa kupitishwa bungeni, yeyote atakayekuwa anasambaza picha za namna hii atachukuliwa sheria. hata kama ulitumiwa wewe utakaye-resend pia utakuwa responsible. FUTA DELETE KABISA
Kuna clip imewekwa ya mamake diamond anabanduliwa live na ki serengeti boy ...mama ana miuno hatareeee
Wema ni mtu ambaye hajitambui, badala kutumia umaarufu wake kufanya kazi/kutoa filamu yeye anaona sifa kuwa maarufu wakati haiingizi chochote.
Huwa namhurumia sana sababu anapoteza nafasi/muda mwingi kwenye ujinga.
Binamu naomba nirushie hayo mapicha whatsapp aisee nr. yangu hiyo +1 215 383 5251
Anapenda umaarufu kiama, usikute apo kafurahi na yeye kauza sura
bongo muvi at work wema ana maisha ya maigizo sana
Ni kweli, nasikia aliumwa sana had akapoteza fahamu kwa dakikia 29 , nasikia shoga ake aunty ezekiel ndo akamwagia maji baadae akazinduka, sasa ivi madai ndo anaiomba serikali na mamlaka ya mawasiliano TCRA waingilie kati kuhusu watu wanaotukana ovyo mitandaoni
Mmh aunty ezekiel nae aka mbeba pochi wa wema kazi anayo, nilikuwa namkubal sana Aunty, toka ajifanye msukule wa wema sepetu sijui nalionaje, yan linapelekeshwa kama msukule wa gwajima, yani ukitak ushoga na wema sharti uwe msukule atakachosema ndo hicho unafanya, na ndio maana haziivi na wolper wala uwoya coz wote wanajiona ma diva