Ahahahahaaah, kwa nini zavi
Maana unavyomshambuli huyo mama , muhurumie kidogo.
We nae unaomba sorry ya nini?? Kama humpendi mtu si humpend tu, kwan nani atakushikia bango?? Waende zao uko, timu dengue kanifuraisha sana , kawapa kubwa kuliko, wote kimyaaa
Maana unavyomshambuli huyo mama , muhurumie kidogo.
mwenzangu nawaambia tu bora uwoya ht km kicheche hana show off za kishenzi
Bibi bomba wema kujifanya kim kardashian, hela yenyew hana, show off nyingi
Bibi bomba wema kujifanya kim kardashian, hela yenyew hana, show off nyingi
pessa za mabwana!
Bwana mwenyewe wa kumpa hela nani? Ndomo? Thubutuu
Siamini kama Wena seriously kaguswa na kile ambacho amefanyiwa mama ake she's heartless kwa kweli kuna time nashindwa kuamini yanayoandikwa kwenye IG page yake alafu anapiga kimya mpaka nahisi amewapeleka chuo cha matusi watu wake,simply akina mama wengi wamedhalilishwa kwa kutukanwa kwenye page yake na yeye anakenua tu mimi naamini ametengeneza hili janga kwa mikono yake acha ahangaike na wanaomuhusu na ajiulize kwa nini mama ake na alivyo mwehu baada ya muda kaendelea na post zake kama kawa i thought angepumzika kwa muda yule binti full maigizo i sure she got it from her mama.
Such a B****
pessa za mabwana!
nasikia wema kazimia kuhus zile picha, mbona wanaanza kunitia wasi wasi, sasa kama picha za uwongo wanahangaika nazo za nini, au usikute hizo picha za kweli, watu mpak wanajizimisha
kuzimia hajazimia binamu
huo ni uongo mtakatifu sema alipanick ni sawa kupanick maana hata mtu ukisemwa uongo it's obvious kupanick
leo insta kaweka clip anaimba ka wimbo Fulani hivi
Ni kweli, nasikia aliumwa sana had akapoteza fahamu kwa dakikia 29 , nasikia shoga ake aunty ezekiel ndo akamwagia maji baadae akazinduka, sasa ivi madai ndo anaiomba serikali na mamlaka ya mawasiliano TCRA waingilie kati kuhusu watu wanaotukana ovyo mitandaoni
wapuuz tu wale wanatafta kiki
ila nazo si pesa...
hahaaa hazishtui mtu mana bora jokate unajua anafanya nini ht km ana mambo yake ila anajua kutafta pesa kwa jasho
Eti sasa ivi ndo anajifanya kuiomba serikali na tcra kuingilia kati kuhusu watu wanaotukana kwenye mitandao, manina zake mwache akione cha mtema kuni , yan team dengue nimempenda bure, maana timu wema walikuwa wanajifanyag wamepinda na kushindikan