Picha ya ndege kufanya kazi mwisho saa sita usiku

Picha ya ndege kufanya kazi mwisho saa sita usiku

Nilisikia hapo nyuma kidogo kama mwezi umepita kulikuwa na wizi umezuka hayo maeneo kwa kutumia bodaboda,sasa sijui kama huo ni mkakati labda wa kukabiliana na hilo wimbi la wizi au kuna kitu kingine.
Leo nikirudi nitadadis zaidi mkuu , ila kwa vile hili Jambo lipo hapa hakika tutapata jibu la uhakika .
 
Sababu ni nini? Viongozi wa Tanzania wameshajua kuwa wananchi ni kama wale nyumbu wa Manyara, hivyo hufanya wanachotaka. Juzi polisi (mtoto wa kigogo wa polisi ambaye naye ni polisi) kagongwa na kufa, msako wa daladala ulifaonyika ni wa kufa mtu, wakati hilo eneo wananchi wanagongwa na kuuawa kila siku, lakini serikali haijali. Wananchi msipojijali nyie wenyewe mnadhani ni nani atawajali?
Wacha wakione cha moto.wakiambiwa waandamane. Kuna viongozi wa wapumbavu wa WAMACHINGA Wanasema watavunjwa miguu hata kabla ya kuandamana. Manake polisi wana haki zaidi ya raiya na kupigwa kwenye maandamano ni sawa tu . Hata kama una dai haki yako. Maandamano ya kumpongeza mtukufu raisi RUKSAAA
 
Back
Top Bottom