Picha ya ndege kufanya kazi mwisho saa sita usiku

Nilisikia hapo nyuma kidogo kama mwezi umepita kulikuwa na wizi umezuka hayo maeneo kwa kutumia bodaboda,sasa sijui kama huo ni mkakati labda wa kukabiliana na hilo wimbi la wizi au kuna kitu kingine.
Leo nikirudi nitadadis zaidi mkuu , ila kwa vile hili Jambo lipo hapa hakika tutapata jibu la uhakika .
 
Wacha wakione cha moto.wakiambiwa waandamane. Kuna viongozi wa wapumbavu wa WAMACHINGA Wanasema watavunjwa miguu hata kabla ya kuandamana. Manake polisi wana haki zaidi ya raiya na kupigwa kwenye maandamano ni sawa tu . Hata kama una dai haki yako. Maandamano ya kumpongeza mtukufu raisi RUKSAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…