Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

Alimchukulia kama babu yake pengine. Ni kawaida tu.
 
Aliyetoa maagizo ya Idris aende kituo cha Polisi ni mtu anaejulikana kwa jina la Baba Keegan. Sio Mkuu wa mkoa Paul Makonda. Hata ningekuwa mimi nisingejisumbua kwenda. Huo ujumbe toka BASATA ulitoka kwa mtu asiyetumia jina kama hili la Baba fulani.
Labda anataka kulitambulisha jina analoitwa na mkewe, Baba Keagan.
Uzazi wa mchina una tabu sana, kila mtu wataka ajue kuwa unazalisha na tayari una mtoto!
 
Like father like son. Baba lazima afanane na mzazi wake. Ukimuona Makonda na vituko vyake ujue ndo baba yake alivyo
 
[@GENTAMYCINE, .

Achana nae huyo alifeli darasa la nne,akafeli darasa la saba,akafeli form two,akafeli form four akanunua cheti Cha Paul akaenda kusoma certificate ya uvuvi Nyegezi, kabla ya kwenda Bagamoyo kusoma Diploma na kung'ang'ania nyumbani kwa Marehemu Sita.
 
Kuanzi sasa iwe in marufuku Rais kuitwa jembe au bulldozer. Maana nafuu hata Idrisa na picha yake kuliko kumfananisha na jembe au bulldozer lenye Shep mbaya.
Na iwe mwiko kwa Magufuli kumuita rais wetu "magufuli" jiwe kwelikweli, maana RC Makonda au maarufu kama baba Keagan (baada ya kupata mtoto wa sayansi ya mchina) atamshughulikia.
 
😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁
 
🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kinachonisikitisha ni pale Waziri mchapakazi kama Kigwangalla anashindwa kujua agizo la Makonda laweza kuwa kimemo direct toka kwa Mkulu mwenyewe. Pili JPM si mtu wa ku-entertain majibizano ya wasaidizi wake! Sitashangaa akitafutiwa sababu kuvuliwa Uwaziri!
 
Dear learned lawyer,wito wa polisi ni sheria, iwe kwa simu, kwa kuachiwa ujumbe na ameambiwa akifika aseme Makonda kaniita

Mnatakiwa kuwa mstari wa mbele kuwafundisha watu kutovunja sheria
For that matter he is supposed to use official twitter of Dar es salaam Regional Commissioner!
 
Bado miaka 7 tu huyu jamaa ataishi maisha magumu sana ndani ya CCM itakayokuwepo wakati huo. Maisha huwa yanabadikika haraka saana, ni suala la muda tu haya majigambo aka kujimwambafai yatanyauka kama maua kondeni yaliyokosa maji.
 
Hawezi kuwa kitu kingine ambacho SIYO MAKONDA. Ukitaka awe unavyotaka, basi aache KUWA MAKONDA.
 
GENTAMYCINE my friend,mpotezee huyu jamaa hii si mara ya kwanza unamwambia almost thread zaidi ya kumi unamwambia mambo hayohayo haka kajamaa sikio la kufa nadhani atakuwa na laana
 
Nadhani kuna haja ya watu kutambua kuwa asilimia kubwa ya watanzania wanampenda rais wetu na hawana nia mbaya dhidi yake.
 
Halafu kuna mtu anatushawishi, eti huyu jamaa anatarajia kuwa Rais huko mbeleni!. Hii Nchi itageuka majivu matupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…