Kiufupi hio taarifa imetolewa na mtu Instagram jina la account ni Baba Keagan hauwezi jua mtaani kuna baba kegan wangapi.Kwa tasnia ya uchekeshaji ni jambo la kawaida.
Mbona Masudi Kipanta huwa anamchora rais vibaya zaidi na huwa rais mwenyewe anacheka?
Au mm sijaelewa kusudi la Idris?
Unajua alama za rais na matumizi yake
Baba Keagan ni nani hasa hadi aagize alivyoagiza? Kwenye maagizo ya kiserikali na kiutendaji, majina yanayopaswa kutumika ni majina halali. Kuna uthibitisho gani kuwa Baba Keagan ni Makonda? This thing is neither trivial nor immaterial.
Yeah! That's true. We are trying to make a mountain out of a mole hill.Mbona kawaida sioni kama kuna ubaya hapo!!! Tatizo Letu Wabongo tunapenda sana kukuza vitu!!!
Kitu kidogo tuna complicate kionekane kikubwa!!!!
Unajua maana ya 'impersonation' wewe?Wito wa polisi unaweza kuwa kwa njia yoyote iwe,simu,barua,kuachiwa ujumbe unakua wito halali
Huyo msanii amefanya impersonation,pili amekiuka sheria ya mtandao
Someni sheria kabla ya kutoa povu
Masudi anachora katuni sio picha halisi ya Rais, ni ngumu kumuhukumu Masoud K. kwa sababu akikataa huna ushahidi kuwa aliyechorwa ni Mhusika hasa.unaujua usanii?
kama idris Anatambulika na BASATA kuwa ni msanii Hana kosa.
Kama kukamatwa angeanza masudi kipanya
an act of pretending to be another person for the purpose of entertainment or fraud.Unajua maana ya 'impersonation' wewe?
acha ujinga wewe kuwa CCM kusikufanye kuwa hivyo namna hii hata mwanao wa shule ya msingi amefunzwa namna ya kufikisha ujumbe kwenye jamii ikiwa ni pamoja na kutumia sanaa za maigizo na uchoraji.Masudi anachora katuni sio picha halisi ya Rais, ni ngumu kumuhukumu Masoud K. kwsbb akikataa huna ushahidi kuwa aliyechorwa ni Mhusika hasa.
Masoudi hamchori Rais weweMasoud Kipanya huwa anatumia makalio yako kuchora katuni za Jiwe?
LAKINI KWELI, Masoud huwa anachora mtu mwenye kichwa kikubwa ambaye wakati wa kuzaliwa alikosa FOLLIC ASID, kichwa kina chogo na kimesogea kwa mbele kama bedford, siyo rais wetu mpendwaMasoudi hamchori Rais wewe
Magufuli hayupo vile,ukimpeleka mahakamani utashindwa tu kesi
Huyo msanii hakumchora Rais,ame distort muonekano wa Rais hata wewe unajua kwamba ile sura ni ya rais halafu huku chini amemvika vi mtikila
Dear learned lawyer,wito wa polisi ni sheria, iwe kwa simu, kwa kuachiwa ujumbe na ameambiwa akifika aseme Makonda kaniitaHapo Makonda anahusikaje? Maana aliyetoa maelekezo ni Baba Keagan na si Makonda. Hapo ni watu tofauti; mmoja ana mamlaka mwingine hana. Ningekuwa mimi ningepuuza maelekezo ya Baba Keagan.
Mkuu soma sambamba na sheria ya mtandaoHii labda ni sheria ya huko kwenu tandahimba!