Hapo Makonda anahusikaje? Maana aliyetoa maelekezo ni Baba Keagan na si Makonda. Hapo ni watu tofauti; mmoja ana mamlaka mwingine hana. Ningekuwa mimi ningepuuza maelekezo ya Baba Keagan.
Hivi huyo baba Keagan amemaliza kujenga machinjio ya Vingunguti ama?Hapo Makonda anahusikaje? Maana aliyetoa maelekezo ni Baba Keagan na si Makonda. Hapo ni watu tofauti; mmoja ana mamlaka mwingine hana. Ningekuwa mimi ningepuuza maelekezo ya Baba Keagan.
Makonda nae amekuwa kama chizi ....Ana shughulika na mambo yasiyo na maana kabisa! Hivi hili ni la maana zaidi ya machinjio ya vingunguti?
Siwezi kushangaa kwa huu wakati tulio nao! Hata kuambiwa wajieleze inawezekanaNasikia Wafanyakazi wa Serikali wote ambao hawaja wish "Happy Birthday" wanafuatiliwa kwa karibu.
Jivin'.
Aaah wapi! Siku hizi kuna mchina bwana. Wanakutengenezea mpaka mimba, wewe unakuja tuu kumpa jina eg. KeaganWatu wakishindwa kutia mimba wake zao wanakuwa na hasira za kijinga sana.
House "nigger" - boss we sick? Identify with the boss more than the boss identifies with himself.😂Ingekuwa in page ya Mwakyembe au Kigwangwala tungejua ni utani, lakini huyo zero brain kila MTU anajuwa tabia zake na jinsi anavyo jifanya anauchungu sana na mzee baba kiasi hata akiumwa kichwa kidogo Bashite naye anasikia maumivu
Baadae atajitokeza baba mwenye nyumba atasema aachiwe huyo kijana then credit imeshapatikana.
Nenda pale Karume utamkuta Baba KeaganBaba Keagan ni nani hasa hadi aagize alivyoagiza? Kwenye maagizo ya kiserikali na kiutendaji, majina yanayopaswa kutumika ni majina halali. Kuna uthibitisho gani kuwa Baba Keagan ni Makonda? This thing is neither trivial nor immaterial.
Unauliza baba Keegan ni nani ?Jibu swali. Kama hujui, kaa kimya
Wengi tuu. Sema kila mtu anamjua makonda (Bashite) nimtu wakuropoka miningekuwa idris nisingeenda kituoniHivi Trump angekuwa kafunga wangapi?
Totally confusedBaba Keagan ni nani hasa hadi aagize alivyoagiza? Kwenye maagizo ya kiserikali na kiutendaji, majina yanayopaswa kutumika ni majina halali. Kuna uthibitisho gani kuwa Baba Keagan ni Makonda? This thing is neither trivial nor immaterial.