Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

Makonda on the wheel [emoji23][emoji23][emoji23]

It's Makonda again [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Huenda Mh alifanya utani tu kumtaka aripoti Polisi.
 
Hawakupaswa kupewa airtime kabisa.
This childishness and highest level of pettiness is a new low kwa hao watu. Tunge wa ignore tu.
 
Kiranga,

Hey, huko Pornhub kuna mpaka parodies za Melania Trump, Stormy Daniels, Ivanka Trump, Donald Trump, etc.

Kuna hadi porn actress ajiitaye Teanna Trump.

Hapo Makonda anahusikaje? Maana aliyetoa maelekezo ni Baba Keagan na si Makonda. Hapo ni watu tofauti; mmoja ana mamlaka mwingine hana. Ningekuwa mimi ningepuuza maelekezo ya Baba Keagan.
Naona mipaka ya kazi yako huijuwi. Nenda sasa hivi kituo chochote Cha polic uwambie Makonda kaniambie nije utakuta ujumbe wako''
km Baba Keagan hunjui basi hata Paul Makonda humjui
 
Kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda ya kumtaka Idris Sultan kuripoti kituo chochote cha polisi ilikuwa ni kauli tata pia iliyojaa utani ndani yake.

Hapana shaka kuwa ndugu, Paul Makonda anafahamu fika kuwa Idris Sultani ni mchekeshaji, hivyo kutumia namna yake ya Comedy kufikisha ujumbe wa kumtakia heri mheshimiwa raisi Magufuli.

Makonda naye kwa namna fulani akijuwa kabisa kuwa, Instagram sio mahali sahihi kwa kutoa oda ya mtu fulani kukamatwa, kwa lengo lilelile la kuchangamsha genge aliposti kuwa Idris aripoti kituo chochote cha polisi.

Sikuona ubaya wa kauli zote mbili kwani wote hawakuwa serious. Kitu kilicho nishangaza ni kuona watanzania wanavyo lishadadia jambo hili kana kwamba ni kweli Idris ameisha kamatwa ama ameripoti kama alivyo takiwa.

Watanzania tuache mambo ya kushadadia vitu kwenye mtandao na pia kuwapa nafasi kubwa na kuwaogopa wateule wa raisi kana kwamba wako juu ya sheria.

Kama Idris amefanya kosa basi atahukumiwa kwa mujibu wa sheria na si kwa amri ya mtu fulani. Hakuna mwenye mamlaka ya kisheria kuamuru kumkamata mtu bila sababu na hata kama mamlaka hiyo anayo basi mahakama ndio muamuzi wa mwisho.
 
Vp serikali ilikuja kutoa tamko?

Alikuambia kuwa ilikuwa si kweli? Kumtaka mtu aende polisi unasema hakuwa shihi? Huyu Bashite kazoea kutoa amri mitandaoni hata Amber Rutty alitakiwa kuripoti polisi kupitia instagram ya Bashite, usitetee ujuha wa huyu bwana.
 
Back
Top Bottom