Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

Huyu Baba Keagan ndiyo nani? Uandishi wake unatia mashaka sana. Halafu, mletamada tusaidie tujue kilichotokea . Umeandika kana kwamba tunajua kama wewe. Where is your evidence? Inasikitisha sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo nimkwara wa makonda baada ya idriss kuedit picha za Mheshimiwa kuhusu birthday yake.
 
Kubishana na mabush lawyers sio sehemu ya maisha yangu
Hapo Makonda anahusikaje? Maana aliyetoa maelekezo ni Baba Keagan na si Makonda. Hapo ni watu tofauti; mmoja ana mamlaka mwingine hana. Ningekuwa mimi ningepuuza maelekezo ya Baba Keagan.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo Makonda anahusikaje? Maana aliyetoa maelekezo ni Baba Keagan na si Makonda. Hapo ni watu tofauti; mmoja ana mamlaka mwingine hana. Ningekuwa mimi ningepuuza maelekezo ya Baba Keagan.
[emoji23][emoji23][emoji23] na kweli si mpaka umjue mwenye account. Halafu kumbe ni sehemu official ya kutoa amri kwa kiongozi eeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…