Picha ya uso wa mtu aliekata tamaa ya kuishi baada ya kuhukumiwa miaka 22 Jela

hujui unachokiongea. Sheria imeweka immunity kwa mahakimu na majaji huwezi kuwashitaki kutokana na yale waliyoyafanya wakati wa utekelezaji wa kazi yake. ukimsulubu humu itakusaidia nini, na itamuumiza nini? si unapoteza muda wako tu.
Kuna watu wanataka kuingilia uhuru wa mahakama,
 
Usinitishie wewe, pumbavu mmoja, siku ndugu yako akiuawa na hao majangili utarudi hapa kuomba msamaha
Kwenye hiyo picha unamuona jangili? Utarudi hapa.., na wewe sio wa kwanza.., ile comment yako utaisoma kwa kirumi na kilatini
 
Mdogo wake Rostam Azizi Bwana Ikram Dr Magufuli alimwacha.
 
Majizi halisi yanayofilisi nchi hayafungwi, majizi yanayouza wanyama zetu tena kwa wingi hawafungwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…