Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Hahahaaaaa. Lol.

Sio kwa kunibananisha huko jamaani lol. Nimekosa jibu kwa kweli. Hahaaaa.
 
Kundi lote hili lisipopata ndoa unafikiria nini kitatokea kwa mazingira yetu ya UKATA huu?!!!!!!
 
Ila walijiweza..naanzaje kuacha mambo ya msingi niende kwenye kongamano..khaa
Hahahaaa. Ndio hapo sasa mwaya. Kwenda kujianika huko hata sio kwa kweli.
 
Tatizo wanawake wengi wako interested zaidi na HARUSI badala ya NDOA. I hope watanielewaπŸ˜€
 
Hahahaaaaa. Lol.

Sio kwa kunibananisha huko jamaani lol. Nimekosa jibu kwa kweli. Hahaaaa.
Haya kwa ridhaa yako ukiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu yoyote mpe kibali shem awe huru kuongeza mwenzio kwa idhni ya Allah, nawe Allah akufungulie mambo yako.
 
Haya kwa ridhaa yako ukiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu yoyote mpe kibali shem awe huru kuongeza mwenzio kwa idhni ya Allah, nawe Allah akufungulie mambo yako.
Hahaaaa. Nimecheka sana leo Kaka. Lol

Wasema tu kaka ila ujui vinavyouma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…