Haya bana.Haya kama umecheka naamini umefurahi, kuhusu hilo jambo kuuma hilo nalijua saaana ila ndio sehemu ya mitihani mlopewa na Allah ni lazima mjitahidi mfaulu na si vinginevyo.
Haya usiku mwema, msalimie shem mwambie aanze mikakati fasta ila awe mwangalifu na pia achunge haki zako
Mie niko poa.salama za ww
Manunganazi ni watu wa aina gani ?Hapana inaokena wasio oa ni nusu ya walio baki manunganazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilo tatizo lipo dsm peke yake ?Nawasikitikia sana wasichana wanaoishi Dar, sijuwi wanakuwa katika hali gani wakifikisha huo umri huku wakiaangalia kaka zao na utata walionao.
haha hahaNingekua dar cjui na mm ningeenda.maana huu uchumba sugu nilionao hatari sana
jua lina kuchwa Binti ""Waoaji sijui wameenda wapi binamu
hahaaa..jua la utosi limeshaanza kumchweaHuyo dada wa katikati si niliwahi kumchumbia akakataa sasa kafata nini huko?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] manungaembe ni ke, nunganazi me wasio taka kuoaManunganazi ni watu wa aina gani ?
Shangaa hata wewe wanatutesa sana[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Hivi Vijana msiooa mkiongozwa na Ruge mbona mnawatesa hivi kina dada?
Ndoa sio asali kwamba kila mtu anaweza akailamba anavyotaka.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] manungaembe ni ke, nunganazi me wasio taka kuoa
Ndiyo hivyo wanawake wasilalamikiwe kwanini hawaolewi, wataolewaNdoa sio asali kwamba kila mtu anaweza akailamba anavyotaka.
Inabidi Makonda awaite ofisini π π πShangaa hata wewe wanatutesa sana[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]