Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Mbona wengi sana ,mtoa mada hebu tujuze hilo kongamano bado linaendelea au vipi ili niende kupiga jicho maana kama nimeanza kuvutiwa na yule pale alie suka wa katikati kabisa
 
duuuh watoto wamoto kabisa hao....au tabia ndo tatzo ??
 
Sifa moja wapo ya mwanamke ni urembo pia[emoji4]
Ni kweli dada maana ndio jambo la kwanza kumvutia kidume ilaaaa.... hiyo ni sifa "mpito" haidumu aifikiriaye future hachukulii urembo kuwa ni kigezo kwa sanaa bali hutizama tabia na maadili ya bint husika ila urembo una nafasi yake pia.
 
Huu uzi umekosa wachangiaji wa kike kabisa

Wanaupita speed ya[emoji573]
 
Theme ya kongamano lenyewe teyari mkosi kwa washiriki wenyewe. "KONGAMANO LA WASIOOLEWA"
wasioolewa ni wale ambao hawataolewa kabisa ( waseja),
Ingetakiwa kuwa " KONGAMANO LA MABINTI AMBAO HAWAJAOLEWA BADO" au kuweka sentensi fupi " KONGAMANO LA MABINTI" kwamaana kama hujaolewa wewe ni binti haijalishi una 35 au 23 yrs.
 
Duuh! Ila kwa wingi Wanawake tulionao na wanaume wa sasa walivyo wagumu upande wa kuoa lazima idadi iwe kubwa kiasi hiki. Lol.

Wanaume muwowe jamaani.
 
Kila Mwanaume ameumbiwa mke na si kila mwanamke ameumbiwa mume......!

Wanawake wakilitambua hilo hawawezi kupata shida kabisa
 
Back
Top Bottom