Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kwa niaba yetu mmefanya jambo kubwa sana.Leo Tarehe 15 feb 2024 ni siku ya baraka Jijini Mwanza, baada ya umati wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa maisha n miswada mibovu ya sheria za uchaguzi.
Hiki hapa ni kituo cha Igoma.
View attachment 2904724View attachment 2904726View attachment 2904727View attachment 2904764
Wazungu wamewashika korodani,mmelegea.hata katiba mpya mtatoa tuuurais nje ya ccm hii nchi ngumu bado kufika huko,,,hapa ni kuongeza wabunge tu ,wakilegeza zaidi labda wawape na uwaziri ila urais sio karibuni
Kwanini unatoa Outdated Statistics Tuna sensa ya mwaka 2022 Au wewe mwenzetu hujui ilo?
Kwanini unatoa Outdated Statistics Tuna sensa ya mwaka 2022 Au wewe mwenzetu hujui ilo?
Yapu na sana tu nakumbuka kuna siku alipigwa figisu za viwanja vya mikutano pande za Kirumba na Ma CCM kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa diwani..akaletewa na wavuvi mitumbwi kama yote mitaa ya Magomeni akafanya mkutano mmoja mkubwa sana akiwa ziwani/majini.Na kumbuka CDM walitetea kata hiyo.Mwanza ndiyo MwanzoDr Slaa anaipenda Mza sana.
Ilimpa ushirikiano sana ktk harakati zake enzi ile
Mungu Wabariki WazunguWazungu wamewashika korodani,mmelegea.hata katiba mpya mtatoa tuu
mzungu mwenyewe akipata sehem ya kula anatulia,,,,CCM wanajua kula na vipofuWazungu wamewashika korodani,mmelegea.hata katiba mpya mtatoa tuu
Picha please tupia
Mbona huwa mnalazimisha sana kuonyesha mnawafuasi , kama kutapalika ndo huko unapaswa kurudi tena shuleLeo kulikuwa na maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza. Kwa kweli watu walikuwa wengi sana. Hii inaashiria nini kuhusiana na ajenda zao?.
Mbona huwa mnalazimisha sana kuonyesha mnawafuasi , kama kutapalika ndo huko unapaswa kurudi tena shule
Hahaaaa, HATOGOMBEA!!NAMBA MOJA AJAYE NCHINI embu niambie falsafa iliyopo nyuma ya pazia ya kuruhusu maandamano?
Ni ushauri sahihi kwa namba moja, au ni nini haswa?
Nakazia.Hoja yako ni ya kipuuzi
Acha utani!Hahaaaa, HATOGOMBEA!!
Si Kweli,Hiyo ni agenda ya mama , hata huko kwenye mihangaiko ya kulitafutia chakula taifa ndio agenda kuu kuwa demokrasia imestawi ...
House nigger at his best.