Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dr Slaa anaipenda Mza sana.

Ilimpa ushirikiano sana ktk harakati zake enzi ile
Yapu na sana tu nakumbuka kuna siku alipigwa figisu za viwanja vya mikutano pande za Kirumba na Ma CCM kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa diwani..akaletewa na wavuvi mitumbwi kama yote mitaa ya Magomeni akafanya mkutano mmoja mkubwa sana akiwa ziwani/majini.Na kumbuka CDM walitetea kata hiyo.Mwanza ndiyo Mwanzo
 
Wazungu wamewashika korodani,mmelegea.hata katiba mpya mtatoa tuu
Mungu Wabariki Wazungu

Screenshot_2024-01-18-22-15-01-1.png
 
15 February 2024
Mwanza, Tanzania 🇹🇿

NI BALAA .. CHADEMA WANANGURUMA MUDA HUU MJINI MWANZA, WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI


View: https://m.youtube.com/watch?v=mxC4YhtFZ-w

Maandamano hayo yenye misafara mitatu kwa upande wa Igoma yameongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, msafara wa kutokea Buhongwa kupitia barabara Kuu ya Kenyatta umeongozwa na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu, huku Katibu Mkuu John Mnyika msafara wake ukitokea barabara ya Airport Ilemela.

Na maandamano kuishia viwanja vya Furahisha kisha kuhutubiwa na viongozi wa CHADEMA.
 
Leo kulikuwa na maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza. Kwa kweli watu walikuwa wengi sana. Hii inaashiria nini kuhusiana na ajenda zao?.
Mbona huwa mnalazimisha sana kuonyesha mnawafuasi , kama kutapalika ndo huko unapaswa kurudi tena shule
 
hii inaashiria watu hawana njaa, una beti, toyo inalaza 50 mpa 100, bajaj inalaza 70 mpaka 100kb, sasa ni kuserebuka tuu,
 
Hiyo ni agenda ya mama , hata huko kwenye mihangaiko ya kulitafutia chakula taifa ndio agenda kuu kuwa demokrasia imestawi ...
Si Kweli,

Ingekuwa ni agenda yake, asingethubutu kumpa case ya ugaidi Mbowe, asingempa case ya uhaini Slaa na Mwabukusi,

Pia asongemtuma Chala kupeleka wanajeshi mtaani siku ya maandamano.

Kuimarika Kwa CDM ni kubadilika mgombea Urais CCM.
 
Back
Top Bottom