Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Sidhani kama mwakani mtapata Mgombea Urais! Yaani Mgombea Urais wenu hata kuzikwa bado nyie mko mabarabarani eti maandamano? Ujinga gani huo? Ngoja tuone siku Mbowe akifa kama mtamuacha mochwari ili mkaandamane!
 
Hoja yako ni ya kipuuzi
 
Kwanini unatoa Outdated Statistics Tuna sensa ya mwaka 2022 Au wewe mwenzetu hujui ilo?
 
Erythrocyte atanisamehe kwakweli, upinzani sometimes unasaidia. Ila kushika nchi hapana kwa kweli, (Ubaguzi, udini na ukabila) hivi vitu kama wataacha watafika mbali, japo sio wote wapo hivyo.
 
Kuna watu wadini na wakabila kuzidi sisiemu?
 
Erythrocyte atanisamehe kwakweli, upinzani sometimes unasaidia. Ila kushika nchi hapana kwa kweli, (Ubaguzi, udini na ukabila) hivi vitu kama wataacha watafika mbali, japo sio wote wapo hivyo.
Tukusamehe kwenye nini ?
 
Jitahidi kuvumilia yasiyokufarahisha. Hapo hakuna nguvu Wala vitisho vya Dola. Huo ni umati unaokwenda kwa hiari Yao.
kuna umati wapi hapo kwenye hayo mahangaiko acha upotoshaji wew 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…