Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Tumia teknolojia kusoma yaliyomo, mfano hapo unaweza kupata mawili matatu Kwa kiswahili na kiingereza (tafsiri isiyo rasmi ya teknolojia)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewezaje kujua kama anataka umitafsirie Kiswahili na sio vinginevo? ahahaaI'm sorry, I don't know Swahili.
I'm sorry, I don't know
How did you come to understand the headingI'm sorry, I don't know Swahili.
Aisee hilo ni jini gani
😂😂😂😂😂Ndumba za kiarabu, nimeona moja ya kumtoa mtu busha
Zina uhusiano na Quran au tu ni uchawi unaotumia lugha ya kiarabuDuh Hizi Talasimu Wewe za nini unataka kumroga nani
Ndio hapo nimeshangaaUmewezaje kujua kama anataka umitafsirie Kiswahili na sio vinginevo? ahahaa
Ni EvilSpiritTalasimu ni nini?
Tulia bana nisije nikakutupia kijini cha upinde wa mvua
Unataka kutumia?Zina uhusiano na Quran au tu ni uchawi unaotumia lugha ya kiarabu
Vitu vyengine si vizuri kuweka kwa wanaoelewa hiyo lugha wanaweza wakajaribu.Du kumbe ni falaki
Hhahahaha Mkuu Sijawahi kuwa mganga Hahahaha ila Kwakuwa ni mzaliwa Wa Pwani hivyo vitu navijuaTupe elimu kwa ufupi kwa faida ya wengi
Hapana havina Uhusiano Na Quran ila ni Uchawi wa Kiarabu tu..Zina uhusiano na Quran au tu ni uchawi unaotumia lugha ya kiarabu
Tufahamishane: umeelewa nini walichoandika?😂😂 Dah ila Waislamu 🙌
Wala huwez kujaribu chcocht kama hujasom falak ukajua hapo utakaa ushangae shangae tu.Vitu vyengine si vizuri kuweka kwa wanaoelewa hiyo lugha wanaweza wakajaribu.