Picha za kurasa za vitabu hivi mbona zinatisha huwa vinafundisha nini?

Picha za kurasa za vitabu hivi mbona zinatisha huwa vinafundisha nini?

Hayo kuyachoma mpaka church tu. Vinginevyo utakesha.

Uislamu na uchawi ni kama pete na kidole. Zile albadiri ni ushirikina wa kiwango cha jehanamu.

Mambo ya Shekh Yahya hayo.
Nakataa uislamu umepinga sana uchawi na shirki naweza kukuwekea aya nyingi tu zinazo thibitisha hayo hawa unaowaona wanajinadi kumiliki majini na uchawi tukienda kisheria ya dini ya kiislamu HAWAHESABIKI KAMA NI WAISLAMU maana shirki inamtoa mtu kwenye uislamu na dhambi yake ikiwa mtu amekufa bila ya kutubia basi haina msamaha hili lipo wazi.
 
Naona umemkana hadi Shekh Yahya. Uislamu ndiyo zao hizo. Siku hizi umepotoka tu kama Ukatoliki. Hao ni mama na binti yake.

Uislamu ulianza ukiwa safi. Lakini siku hizi una mapokeo kibao. Mara hadith???
 
Hadithi zilikuwepo na ni maneno ya mtume muhammad (peace be upon him) na hadith mara nyingi zinafafanua hukmu za kwenye quran . pia kwenye hadith kuna ambazo ni dhaifu na ambazo ni swahih kutokana na mlolongo wa upokezi wake kwa kiarabu wanaita (sanad) hilo ni jambo ambalo lipo wazi na ndiyo maana wanawachuoni wa kiislamu wamekuwa wakizisoma na kuzijadili kwa miaka mingi hadi kufikia kuzitoa zile ambazo ni dhaifu na ambazo ni sahihi.

Kingine shaikh yahya kwangu mimi kiukweli hakuwa muislamu kwa sababu elimu aliyokuwa nayo kwanza ilikuwa inatatanisha na mambo aliyokuwa anayafanya yalikuwa yanaendana moja kwa moja na waganga kiufupi alifanya matendo ya kiganga mfano kutabiri nyota (unajimu) ni elimu ya kishirikina na hauwezi kuifahamu bila kuwa mshirikina hivyo moja kwa moja anaingia kwenye ushirikina ni moja ya mtu aliyejinasibisha na uislamu .na wapo watu wa hivi wengi tu mfano shaikh sharifu majini, doctor sule na wengineo wengi .nimalizie kwa kusema "few bad apples does not spoil the whole bunch" hao watu si watambulishi wa uislamu, uislamu umekamilika ila wafuasi wake ndiyo hatujakamilika.
 
Huo no utaahira wa kusoma ‘Albadir’, imani za kijinga tu.

Imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba hii dunia.
 
Hiyo picha ya pili imenogopesha sana,ndo ujue waislamu ni watu wa ajabu sana,eti wanamchukulia mkristo na myahudi kama adui yao,kwa lipi? Dini ya kijinga sana hii kuwahi kuwepo duniani.mwandishi anasema
"
  • Ee Mwenyezi Mungu, tenga baina ya maji na moto, kama ulivyo wafarikisha Mayahudi na Wakristo, na kwa ajili ya Aya hii, na mpe pepo."
 
Back
Top Bottom