Picha za kurasa za vitabu hivi mbona zinatisha huwa vinafundisha nini?

Picha za kurasa za vitabu hivi mbona zinatisha huwa vinafundisha nini?

hivyo ni vitabu vya uchawi vya kiarabu havina uhusiano na qurwani.
nimewahi kuagiza vya waingereza nikalipia book store bahati mbaya sikuvipata. viko vya nchi nyingi tu. ukipata vya waromania ni nyoko.
Kwahiyo mtu akivisoma hivyo anaweza kuwa mchawi ila hivi vya kiarabu lazima mashehe pia wanavitumia.Halafu Romania si ndio Dhana ya Dracula/Vampire ilipotokea
 
Because I was quoted, and I had to reply, right?

Honestly, I have no earthly idea what was being referred to. I sometimes rely on instinct when it comes to this.
Ok basi ngoja nikufundishe mawili matatu ya kiswahili.
1. Wewe ni mpuuzi, maana yake wewe unaakili sana. Got it?
 
Nadhani hicho ni kitabu cha ushirikina na namna ya kuwaita majini kama si shams al-maarifa sidhani ! Aisee kakichome moto haraka sana mkuu ukizidi kuchunguza mavitu ya washirikina na wewe utajikuta umeingia bila kujua.
 
Kwahiyo mtu akivisoma hivyo anaweza kuwa mchawi ila hivi vya kiarabu lazima mashehe pia wanavitumia.Halafu Romania si ndio Dhana ya Dracula/Vampire ilipotokea
Dracula alikuwa ni mtu/binadamu (hakuwa vampire kama watu wanavyodhani) na mfalme wa walachia (eneo huko romania) majina yake kamili ni vlad tepes III .

Huyu jamaa alikuwa anawachomeka watu mti sehemu ya haja kubwa halafu unatokea mdomoni au kifuani kisha ule mti unachimbiwa chini kwenye holi lake ambalo alikuwa anapenda kupata chakula huku akiangalia watu hao wakiugulia maumivu makali mpaka vifo vyao .

Alikuja kuuwawa na kaka yake kwa majina radu the handsome hii ni baada ya vlad kuanza ku oppose ottoman sultanate huku akivamia na kuuwa waislamu na waturuki bila ya hatia .
 

Attachments

  • images-1.jpeg
    images-1.jpeg
    39.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom