Picha za kurasa za vitabu hivi mbona zinatisha huwa vinafundisha nini?

Hiyo ndo Elimu ambavyo fallen Angels waliwafundisha Binadamu, sema ipo Kwa kiarabu....!

Ukitaka kujua mtu anakana kilicho chake, check na comments.
Na ni kwanini iwe kwa kiarabu na si lugha nyingine yoyote
 
Na ni kwanini iwe kwa kiarabu na si lugha nyingine yoyote
Dont you know mpaka karne ya 16 watu walikua wana graduate kwa lugha ya kiarabu sababu ndio wao wali advance kwenye elimu,kwenye vita vya crusade maji ya mto nile yakigeuka kuwa mekundu kwa wino wa vitabu.Google neno Andalusia usome habari zake utajijibu swal lako.weng hawana uelewa wa kukubal arabic ndio living language ukiachana na dead one Latin. Maneno ni meng weng hawana elimu
 
Inategemea tu na ustaarabu wa jamii husika na pia waliowatawala,,,ukienda kwa mchina au mrusi umwambie hayo mambo atakua hakuelewi,,, hapo umesema latin na arabic hao kwa upande mkubwa maeneo ambayo hizo lugha zimetumika kuanzia dini hadi tawala kuna nyakati zilikua zinapokelezana.......
 
Basi shetani ana undugu na wenye lugha
Your browser is not able to play this audio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…