Picha za ndege alizonunua Mwalimu Nyerere

Picha za ndege alizonunua Mwalimu Nyerere

Tanu. Niliipanda ile yenye gorofa kwenda London aliiendesha Kaptain Mazura RIP. Huyu baba alilitumikia taifa Mkapa akamnyang'anya nyumba ambayo angenunua pale oysterbay. Mtoto wake akauawa kinyama wakati wa Kikwetwe na waliomuua ni wabongo.
Nakumbuka siku ile alilalamika hadi akawaita na watu wa ITV lakini jamaa wakampora nyumba
 
Alafu wa PR Air tanzania rudisheni lile Tangazo la miaka ile la Kilimanjaro lilikua tamu sana lilikua linatangaza hizi ndege
 
Hivi wanaokusanyika kupokea ndege wale wananchi mnafahamu kama ni watu ambao ni mafukara na maskini kupita kiasi
 
Siyo kwamba hawakufanya, walifanya ila kimya kimya

Angalia midude

View attachment 1246228View attachment 1246230
Screenshot_2019-10-27 5H-MVA Air Tanzania Boeing 737-200.png


Hizi ndege mbili hazikununuliwa na Mwalimu. Hiyo 5H-MVA ilikodishwa miaka ya 2000's na pia hatukuwahi kununua 747-400
 
....sijui wakati huo nao walikua wanakusanyika na kuipigia ngoma na wakata mauno au ilikua kimya kimya!... Sijui na nchi zingine wakinunua ndege uwa wanaandaa sherehe mpaka na ubwabwa unapikwa au ni sisi tu ndo tunaonekana wakuja!
Kuna neno huwa nalipenda sana kwa wakati huu nalo ni


Kuhisi wewe ni bora na wakati una boronga ni fedhea kwa wenye akili
 
Tanu. Niliipanda ile yenye gorofa kwenda London aliiendesha Kaptain Mazura RIP. Huyu baba alilitumikia taifa Mkapa akamnyang'anya nyumba ambayo angenunua pale oysterbay. Mtoto wake akauawa kinyama wakati wa Kikwetwe na waliomuua ni wabongo.
Mkuu hii inaweza kutuandika history mpya na kumbukumbu za watu walio litumikia taifa na kukosa kukumbukwa

Unaonaje ukatuandalia kumbukumbu za huyu rubani na mambo yanyo mhusu kama unaelewa japo kwa uchache

Samah kama nimekupa kazi ngumu
 
uwazi si ni kumuacha CAG afanye kazi yake huko
Uzuri mnaoponda hapa hamtafika hata 50. Ni walewale wa 5 mnapost na kujijibu uzi unafika kurasa 10.

Mnataka Serikali inunue kimyakimya halafu zipotee kimyakimya baadae. Sasa hivi ni uwazi kila mtu aone ili baadae ahoji.

Ndiyo maana watu wengi hawakujua kuwa Tz ilikuwa na ndege kipindi cha nyuma mpaka Magu alipowaeleza. Na kitu kingine serikali lazima iwaambie wananchi wake kuhusu mafanikio yao ili wawe na kujivunia nchi yao.

Kingine, kwa sasa hatuzungumzii picha za ndege za kipindi cha Baba wa Taifa. Mambo ya kuzungumzia picha bila ndege yalikuwa awamu ya 4 na 3, sasa hivi tunazungumzia ndege halisi 11 za AirTz.
 
Duuuuh madude ya maaana kumbe yalikuwa Tanzania wengine tulikuwa tunachunga mbuzi na ng'ombe enzi hizo yakipita tunasema wazungu wanaenda mwezini.

Mpaka mengine double flow premium luxury, Engine 4
B 747 jumbo jet
 
Ile aliyoikwapua mzalendo Mzee Mapunda ndo ipi?

Hiyo kimya kimya ya Nyerere ndiyo aliitumia kuchota pesa zetu na kuzipeleka kwenye harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika kwa ajili ya legacy yake tu.
 
Ile aliyoikwapua mzalendo Mzee Mapunda ndo ipi?

Hiyo kimya kimya ya Nyerere ndiyo aliitumia kuchota pesa zetu na kuzipeleka kwenye harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika kwa ajili ya legacy yake tu.

Airport chato
Bank chato
Tra chato
Uwanja wa soccer chato
Barabara za lami na Mataa pasipo magari chato
Huyu makabila, legacy au umabutu seseko?
 
Back
Top Bottom