Picha za ndege alizonunua Mwalimu Nyerere

Picha za ndege alizonunua Mwalimu Nyerere

Mbona ndegr zingine niideo game mkuu, hapo ndegr ni moja tu zingine video games
 
uwazi si ni kumuacha CAG afanye kazi yake huko
CAG, ambaye ni idara tu ya serikali, kujifungia na kukagua, na wananchi, ambao ndo wameiweka serikali na Rais wake madarakani, kuambiwa moja kwa moja na Rais(serikali) kipi kinachobeba maana halisi ya uwazi?
 
Unasesema sasa hivi nchi ina uwazi kwenye kila kitu wakati CAG ametaadharishwa asithubutu kusogelea hesabu za ATCL, hesabu za ujenzi wa barabara, hesabu za Chato International Airport nk
CAG, ambaye ni idara tu ya serikali kujifungia na kukagua, na wananchi ambao ndo wanaiweka serikali madarakani kuambiwa moja kwa moja na Rais wao, kipi chenye kubeba maana halisi ya uwazi?
 
CAG, ambaye ni idara tu ya serikali, kujifungia na kukagua, na wananchi, ambao ndo wameiweka serikali na Rais wake madarakani, kuambiwa moja kwa moja na Rais(serikali) kipi kinachobeba maana halisi ya uwazi?
CAG
 

Sasa nimerudi na data (takwimu) baada ya kufuatilia kwa kina historia aliyoitoa bwana Andy Chande ambaye ndiye alikuwa mwenyekiti wa kwanza wa ATC.

Kwa mujibu wa Sir Chande, shirika lilianza na ndege zifuatazo:
Douglas DC-9-32- ilikodishwa toka shirika la ndege la Kenya (Kenya Airways)
Boeing 737 mbili ambazo zilifadhiliwa na benki ya US (U.S. bank)
Ndege moja ilikodishwa toka shirika la ndege la Madagascar (Air Madagascar)
Ndege nne za Fokker F27s
Ndege nne za DHC-6-300 Twin Otters (ziliongezwa mwaka 1980)


Ukijumlisha idadi ya hizi ndege unapata zilikuwa 12 na sio 14.

Kulikuwa na ndege kubwa 2 tu (Boeing 737) ambazo zilitoka na ufadhili toka benki ya Marekani

Ukilinganisha ukubwa wa ndege wa wakati wa JKN na hizi zilizopo sasa wakati wa JPM, ni wazi wakati wa awamu hii ya tano ndege zake ni kubwa maradufu.

Kama nilivyoeleza awali, picha zote ulizoziweka kasoro moja hiyo ya mwisho (737) zilikuwa ni ndege za kukodi ama zile zilizoletwa na wabia (SA).

Home work kwako, tuwekee picha ya hizo ndege 14 zikiwa na Reg numbers zake ili maneno yako yawe hakika

****Weka mahaba ya kisiasa pembeni, simamia kauli mbiu ya "JF being the home of great thinkers"
 
Siyo kwamba hawakufanya, walifanya ila kimya kimya

Angalia midude

View attachment 1246228View attachment 1246229View attachment 1246230View attachment 1246231

Kikwete Anaeleza kwamba tuliachiwa ndege 14 na Nyerere



Kuna Upotoshaji wa Hali ya Juu hasa Kutoka Kwa CCM
Wakisema kuwa ndege zilikuwa za Kukodi
Wengine eti ni za Former EAC

Tuweke kumbu kumbu sawa

Baada ya EAC kuvunjika mwaka 1977 Ndege zote zilichukuliwa na Kenya kwakuwa operation na makao makuu ilikuwa kule,

Ndege za Kukodi ni Kipindi cha Mwinyi mwaka 1991 walikodi Boeing kutoka Ethiopia,

Mzee Nyerere was far different from that one whom you praise

View attachment 1246535

Naumia kusema picha ya kwanza sio
Maana hatujawah kuwa na Jumbo Jet
 
Hivi huyu aliyepo madarakani akinunua B747 kama hiyo ambayo ilinunuliwa na serikali ya nyerere si tutahama nchi?
Siyo kwamba hawakufanya, walifanya ila kimya kimya

Angalia midude

View attachment 1246228View attachment 1246229View attachment 1246230View attachment 1246231

Kikwete Anaeleza kwamba tuliachiwa ndege 14 na Nyerere



Kuna Upotoshaji wa Hali ya Juu hasa Kutoka Kwa CCM
Wakisema kuwa ndege zilikuwa za Kukodi
Wengine eti ni za Former EAC

Tuweke kumbu kumbu sawa

Baada ya EAC kuvunjika mwaka 1977 Ndege zote zilichukuliwa na Kenya kwakuwa operation na makao makuu ilikuwa kule,

Ndege za Kukodi ni Kipindi cha Mwinyi mwaka 1991 walikodi Boeing kutoka Ethiopia,

Mzee Nyerere was far different from that one whom you praise

View attachment 1246535
 
B747 hiyo. au wanaita queen of the sky. Hiyo ndo ilikuwa ndege kubwa kuliko zote za abiria duniani kabla ya kuja kupinduliwa na a380 mwaka 2005.
Duuuuh madude ya maaana kumbe yalikuwa Tanzania wengine tulikuwa tunachunga mbuzi na ng'ombe enzi hizo yakipita tunasema wazungu wanaenda mwezini.

Mpaka mengine double flow premium luxury, Engine 4
 
Uwazi upi ambao unauzingumzia ww. CAG hana mamlaka ya kukagua tena hiyo ATCL halafu unahibiri uwazi. Serious?
Uzuri mnaoponda hapa hamtafika hata 50. Ni walewale wa 5 mnapost na kujijibu uzi unafika kurasa 10.

Mnataka Serikali inunue kimyakimya halafu zipotee kimyakimya baadae. Sasa hivi ni uwazi kila mtu aone ili baadae ahoji.

Ndiyo maana watu wengi hawakujua kuwa Tz ilikuwa na ndege kipindi cha nyuma mpaka Magu alipowaeleza. Na kitu kingine serikali lazima iwaambie wananchi wake kuhusu mafanikio yao ili wawe na kujivunia nchi yao.

Kingine, kwa sasa hatuzungumzii picha za ndege za kipindi cha Baba wa Taifa. Mambo ya kuzungumzia picha bila ndege yalikuwa awamu ya 4 na 3, sasa hivi tunazungumzia ndege halisi 11 za AirTz.
 
Sasa huu ushamba wa kuwasomba watu kwenye malori na kuwaambia washangilie umetoka wapi
... Mapambana juu ya kutetea na kuboresha maslahi ya wanyonge yamebebwa kama agenda za kujipatia umaarufu kwa kundi hili kubwa la watanzania wanasiasa wetu ndio wataalam wa kila kitu nyakati hizi na wasomi ndio wamekuwa wachumia tumbo mifano tunayo ...
 
Back
Top Bottom