Picha za Tamasha la Jenifa Lopez Saudi Arabia

Picha za Tamasha la Jenifa Lopez Saudi Arabia

Ni kama wengi hawaelewi maisha halisi na taratibu za maisha katika nchi nyingi.

Kuna manzi flani mmarekani aliniambia nimekua kuanzia utotoni na kufundishwa shuleni , Africa kuna njaa, magonjwa na watu wanatembea uchi, kuna wanyama pori kila eneo.. lakini nimeshuhudia watu wana maisha mazuri na nyumba nzuri, hotels nzuri pengine kuzidi hata baadhi zilizopo Ulaya na US.

Kwa hio hapo mlifikiri JLO asinge perform au angelipuliwa na bomb la kujitoa mhanga... Vyombo vya habari vya magharibi vinaongopa sana...
 
Back
Top Bottom