mbari sa menya
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,002
- 1,891
Wanaharakati wa Kitanzania mna njaa sana kubabeki zenu.Salaam Wakuu,
Kuna picha zinazoonesha Wananchi wa Tanzania Jamii ya Wamasai wakiwa na majeraha. Haijajulikana picha zimepigwa wapi saa ngapi.
Naamini Vyombo vya Usalama vitatolea ufafanuzi ili kuondoa taharuki katika Jamii.
MY TAKE:
Damu ya Mtu haiendi bure.
Pia soma:
Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata
Bungeni: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asema hakuna mgogoro kati ya Wafugaji na Serikali Loliondo
View attachment 2256224View attachment 2256225View attachment 2256226View attachment 2256227View attachment 2256228View attachment 2256229View attachment 2256230View attachment 2256231View attachment 2256232
View attachment 2256393View attachment 2256394
View attachment 2256336
View attachment 2256286
Wewe umeyaona hayo mapigano ?Halafu PM anadanganya hamna mapigano na askali loliondo, atazeeka vibaya
Wanaotetea hao wamasai, hawafanyi hivyo kwa kuwa wanawapenda wamasai, wanafanya hivyo ili kupata umaarufu wa kisiasa.Ila hivi kama kila mtanzania atang'ang'ania ardhi anayomiliki hata pale inapohitajika kwa maslah ya Taifa hatutafika na hata barabara zitabaki kuwa nyembamba.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?" Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na...www.jamiiforums.com
Mlipoibiwa uchaguzi wa 2020 mchana kweupe mlifanya nini ?Going viral .. Bado tutaliacha hili nalo lipite..[emoji24][emoji848][emoji2827]
Salaam Wakuu,
Kuna picha zinazoonesha Wananchi wa Tanzania Jamii ya Wamasai wakiwa na majeraha. Haijajulikana picha zimepigwa wapi saa ngapi.
Naamini Vyombo vya Usalama vitatolea ufafanuzi ili kuondoa taharuki katika Jamii.
MY TAKE:
Damu ya Mtu haiendi bure.
Pia soma:
Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata
Bungeni: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asema hakuna mgogoro kati ya Wafugaji na Serikali Loliondo
View attachment 2256224View attachment 2256225View attachment 2256226View attachment 2256227View attachment 2256228View attachment 2256229View attachment 2256230View attachment 2256231View attachment 2256232
View attachment 2256393View attachment 2256394
View attachment 2256336
View attachment 2256286
Salaam Wakuu,
Kuna picha zinazoonesha Wananchi wa Tanzania Jamii ya Wamasai wakiwa na majeraha. Haijajulikana picha zimepigwa wapi saa ngapi.
Naamini Vyombo vya Usalama vitatolea ufafanuzi ili kuondoa taharuki katika Jamii.
MY TAKE:
Damu ya Mtu haiendi bure.
Pia soma:
Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata
Bungeni: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asema hakuna mgogoro kati ya Wafugaji na Serikali Loliondo
View attachment 2256224View attachment 2256225View attachment 2256226View attachment 2256227View attachment 2256228View attachment 2256229View attachment 2256230View attachment 2256231View attachment 2256232
View attachment 2256393View attachment 2256394
View attachment 2256336
View attachment 2256286
Nimesema tena ninarudia. Samia hafai 2025Naona matundu ya risasi!!! Historia inajirudia. Mzee Mwinyi ndio aliwaingiza waarabu Loliondo,Leo mwanae anawaongezea eneo zaidi huko Loliondo huku damu zinamwagika!!
Huenda wameumizana kwenye michezo yao maana huwa inahusisha fimbo na sime
Unakubali kuhama kwa hiari kabisa,serikal inatumia kod za wananchi kuwaandalia makazi yaliyo bora kabisa,wakati wa kuhama unafika unagoma unashika na sime,ungekua wewe u ngefanyaje?Utawala unaua Raia wake ili kuchukua fedha za waarabu.
Utawala wa kinyama sana huu.
Kwahiyo hiyo kwako ni sababu tosha ya wao kupigwa risasi??Unakubali kuhama kwa hiari kabisa,serikal inatumia kod za wananchi kuwaandalia makazi yaliyo bora kabisa,wakati wa kuhama unafika unagoma unashika na sime,ungekua wewe u ngefanyaje?
2020 kule Zenji uliyasema haya maneno?Utawala unaua Raia wake ili kuchukua fedha za waarabu.
Utawala wa kinyama sana huu.
Je unajua sababu ya msingi ya polisi kufyatua risasi? unawajua wamasai vizuri wewe?Kwahiyo hiyo kwako ni sababu tosha ya wao kupigwa risasi??
Well Noted Mkuu NIMEKUELEWA!!!Hili suala la Ngorongoro lina utata mkubwa sana ambapo hadi sisi wenye akili nyingi tunashindwa tusimamie wapi..🤔. Hapo Ngorongoro kuna makundi manne yanayoleta utata mtupu; wamasai, serikali, mwekezaji wa Loliondo na wanaharakati.
Serikali ina hoja za msingi sana kwanini watu wahame Ngorongoro. Ile hoja ya kulinda wanyama na hifadhi ya Ngorongoro isipotee ni hoja yenye nguvu sana. Kinacholeta utata ni kuaminika kwa serikali kwamba tayari imewajengea nyumba za kuhamia huko Handeni. Je ni kweli? Je, yale makubaliano ya Arusha yalihusisha wamasai wa Ngorongoro kweli au kuna mamluki waliowasemea wenzao wa Ngorongoro?
Wamasai wao hawana hoja zenye nguvu sana za kung'ang'ania kubaki Ngorongoro ila haki za binadamu zinawalinda. Huwezi kuwatoa kama unatoa mifugo porini. Lakini na wao wanafuata sheria za kukaa hifadhini? Tumeona wengine tayari washajenga mijengo ya balaa ndani ya hifadhi kitu ambacho sio sahihi.
Huyu mwekezaji wa Loliondo nae ni kero kubwa kwa wamasai. Ninawalaani wote waliompa hilo eneo kwa mkataba mbaya kuwahi kutokea hapa nchini. Inasemekana yupo nyuma ya huu mgogoro. Wanaharakati walioko against serikali wengi wao sio wazalendo zaidi ya kuwatumia wamasai kupiga hela za mabeberu.