Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

Tukisema JPM KAULIWA NA TEAM MSOGA WANASEMA SISI NI WACHOCHEZI WAKATI HAYA YANAYO TOKEA NI USHAHIDI KAMILI WA WAHUNI WALIO NDANI YA CCM NA SERIKALI, na ninaposema kuwa jpm alikuwa mpole sana alitakiwa kuteketeza kizazi kichafu yeye akakiacha...sasa kimeshika uongozi tena .....wanatuambia SABAYA NI JAMBAZI SASA HAPA NI NANI JAMBAZI SABAYA KAMWAGA DAMU YA NANI ? MBONA HAPA TUNAONA DAMU TUPU .....MAJUZI ZIMEMWAGWA SUMU MTONI WATU WAMEPATA MAAFA SERIKALI INATAKA TUAMINI KUWA NI MAJI KUCHAFUKA KWA KINYESI WAKATI UKWELI UNAJULIKANI
 
Hili suala la Ngorongoro lina utata mkubwa sana ambapo hadi sisi wenye akili nyingi tunashindwa tusimamie wapi..🤔. Hapo Ngorongoro kuna makundi manne yanayoleta utata mtupu; wamasai, serikali, mwekezaji wa Loliondo na wanaharakati.

Serikali ina hoja za msingi sana kwanini watu wahame Ngorongoro. Ile hoja ya kulinda wanyama na hifadhi ya Ngorongoro isipotee ni hoja yenye nguvu sana. Kinacholeta utata ni kuaminika kwa serikali kwamba tayari imewajengea nyumba za kuhamia huko Handeni. Je ni kweli? Je, yale makubaliano ya Arusha yalihusisha wamasai wa Ngorongoro kweli au kuna mamluki waliowasemea wenzao wa Ngorongoro?

Wamasai wao hawana hoja zenye nguvu sana za kung'ang'ania kubaki Ngorongoro ila haki za binadamu zinawalinda. Huwezi kuwatoa kama unatoa mifugo porini. Lakini na wao wanafuata sheria za kukaa hifadhini? Tumeona wengine tayari washajenga mijengo ya balaa ndani ya hifadhi kitu ambacho sio sahihi.

Huyu mwekezaji wa Loliondo nae ni kero kubwa kwa wamasai. Ninawalaani wote waliompa hilo eneo kwa mkataba mbaya kuwahi kutokea hapa nchini. Inasemekana yupo nyuma ya huu mgogoro. Wanaharakati walioko against serikali wengi wao sio wazalendo zaidi ya kuwatumia wamasai kupiga hela za mabeberu.
 
Duu, cheap rhetoric from cannavaro, my ndugu it is more than you think. The Gov. should be more careful than turning it into politics. I cannot imaging Bunge and The GOV instead of looking for the solution they are focusing to shut down the media and wanaharakati. Hii nalo sii utatuzi, kumtafuta aliereport sio utatuzi kwani ni waongo? Je wamasai wote walikubali kuhama? Kauli ya Spika sii nzuri ni ya kuleta vurugu na mateso kwa wanaharakati na kuitwa wachochezi sio sahihi. Nchi haipaswi kuongozwa kwa ubabe na vitisho viashiria vyote mmevianzisha kwa kugrade maineo yao kuwa mbuga za hifadhi hapo hapo Bungeni kupitia Wizara ya mailasili je hizi si chanzo cha mgogoro kama mliamua hili bila kuwashirikisha?. Kaeni chini na wamasai muelewane hao mnaowaita wachochezi hawatapata nafasi bali wataaibika.
Haisaidii, dunia ya siku hizi hata wakifungia vyombo vya habari juu ya hili bado taarifa zitasambaa tu.
 
Huna macho makali boya wewe, umeangalia kwa mrengo wa kisiasa. Sasa watakula kichapo non stop, ambianeni mapema.
Eti boya hahaha......unaongea as if una una uwezo wa kutembeza kichapo....
Sasa nikuambie tu...Serikali itakaa nao na wataondoka bila ugomvi wowote sawa wewe dada....

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Hamna sababu za msingi kuwahamisha hawa watu, anyway madhira haya ni mwanzo wa kujua dhima za watawala
 
Hiki ndicho wanaharakati walikuwa wanakitafuta, wameshapata pa kuanzia na watapata pesa sana kwa kupitia hii.

..Na aliyesababisha wanaharakati kupata walichokuwa wanakitafuta ni nani?

..Kwanini hazikufanyika jitihada kuhakikisha wanaharakati hawapati hicho walichokuwa wakikitafuta?
 
Huyu Baba ndio aliyehonga CCM ili wauze ngorongoro
 

Attachments

  • 20220610_181614.jpg
    20220610_181614.jpg
    40.3 KB · Views: 8
Kati ya viongozi wa hovyo hii nchi ni huyo PM.
Huyu mwamba sijui anatumiwa na mamlaka au niaje aisee, hiyo ishu ya ngorongoro yeye keshamwagiwa zigo la nnya tayari na hana jinsi ya kutoka.

Ikiwa ni kweli hayo yanaendelea huko umasaini na madhara yakatokea aisee huyu PM atadhihirisha huo uhovyo wake tangu alipoudanganya umma mbele ya madhabahu kua mtu mzima kumbe kafa.
 
Back
Top Bottom