Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

Pm wenu angaekua kwenye nchi zinazojielewa siku nyingi angekua kafukuzwa kazi kwa kusema uongo na huo uongo hajaanza Jana Wala Leo ni mwongo kwa kauli zake na matendo yake.Kwa kifupi huyu Mheshimiwa sifa za kuwa kiongozi sema shida yupo nchi ambayo Wananchi hawajui haki zao
 
Nimesikia wamesema sasa ni simebna mikuki mpaka kwa mapolisi
 
Sitaki kuamini mmasaai amejeruhiwa halafu akawa na muda wa kupiga picha.
 
Kwani sasa hivi unakula?

Mbona kila siku unalalama tu juu ya ugumu wa maisha?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sili lakini sina hofu ya kutekwa na kundi la dhalimu lile la watu wasiojulikana.
 
Suala hili linahitaji busara sana....ila kwa Uongozi huu sijui....
Ila na kazi ya kupiga watu risasi na mabomu ni kazi ya watu waliokata tamaa..Mungu aepushe kizazi changu na utumwa huu...
Amen.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Busara ya nini wakati washaambiwa miezi kibao imepita sasa hivi. Busara hiyo hiyo ingetumika MBEZI tungepata barabara nzuri??

Acheni ujuaji wa kifala nyie.
 
Mbona kuna miguu mingine mitamu kama ya Irene Uwoya, ni Wamasai wa wapi hao wenye miguu ya hivyo?
 
Busara ya nini wakati washaambiwa miezi kibao imepita sasa hivi. Busara hiyo hiyo ingetumika MBEZI tungepata barabara nzuri??

Acheni ujuaji wa kifala nyie.
Hakuna haja ya kuitana fala...
Mimi sio mjuaji bali nimejaribu kulitazama hili jambo kwa macho makali ambayo wewe huna.
Next time jitahidi kutumia lugha nzuri...nadhani tupo pamoja....

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
1654873173144.png
 
Huna macho makali boya wewe, umeangalia kwa mrengo wa kisiasa. Sasa watakula kichapo non stop, ambianeni mapema.
 
Back
Top Bottom