Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

Salaam Wakuu,

Kuna picha zinazoonesha Wananchi wa Tanzania Jamii ya Wamasai. Haijajulikana zimepigwa wapi saa ngapi...
Nia ya picha hizi ni kutaka wasipate haki zao, majeraha yanaonesha yalikuwa yamepona, jeraha jipya halivimbi pembeni na kuweka kovu lenye ngozi kavu na damu inayoonekana imeganda sasa sijui ni ya mhusika au ya ng'ombe imepakwa, siku zote uongo ni lazima ufanane na ukweli.
 
Wamepigwa na nani tena kwenye ardhi ya mababu zao? Serikali sikivu naamini itashughulika na hao wahuni wanaoleta fujo kwa ndugu zetu Masai.
 
Watasema we amewavamia askari ikabidi wajihami
 
Royal Tour ilikua usanii tu ule.

Wanatangaza utalii ili waje kushuhudia mauaji ya Raia ama nini ?
 
...Hata hivyo, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu, John Aweyo na Nathan Msuya wataendelea kubaki Mahabusu kutokana na Kesi nyingine ya Uhujumu Uchumi waliyonayo Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi..!
 
Back
Top Bottom