Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Acha unaa wewe! Saudia ni rafiki mkubwa wa US jee wao ni Pentekoste?
Hakuna nchi ya Kikristo iliyopata Trump ban, ulishawahi kusikia chochote kuhusu Trump administration‘s Muslim ban?
Acha unaa wewe! Saudia ni rafiki mkubwa wa US jee wao ni Pentekoste?
Halafu Waislamu tupu (masharubu yao) Zito Kabwe anazidi kuwachongea Waislamu wa TZ kwa D.Trump, moja kati ya sababu ya nchi yetu kupigwa biti ni Uislamu pia, ingawaje hamtaki kukubali.
Halafu Waislamu tupu (masharubu yao) Zito Kabwe anazidi kuwachongea Waislamu wa TZ kwa D.Trump, moja kati ya sababu ya nchi yetu kupigwa biti ni Uislamu pia, ingawaje hamtaki kukubali.
Nani tena huyo?
Mnafundishwa sana chuki makanisani
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ina kuwa ngumu maana wengine paspoti zao ziko mikononi mwa dola..Ingependeza zaidi mambo haya yakafanyika kupitia umoja wa wapinzani na wanaharakati wengine wa humu nchini wanaotaka uchaguzi huru na wa haki.
"Tumefika salama Toronto, Canada. Tunaendelea na ziara yetu ya kimataifa, kuonana na Watanzania wanaoishi nje ( diaspora) na kuzungumza na Serikali za Nchi hizo na Taasisi za Kimataifa ili kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa Tanzania unakuwa Huru, wa Haki na unaoaminika."
Tumeshikwa kende
View attachment 1344360
Nafikiri umefakamia kilevi, kikipungua kichwani uliza tena swali lako kwa utulivuHakuna nchi ya Kikristo iliyopata Trump ban, ulishawahi kusikia chochote kuhusu Trump administration‘s Muslim ban?
Nilichogundua wana lumumba humu wamechanganyikiwa kupita maelezoNafikiri umefakamia kilevi, kikipungua kichwani uliza tena swali lako kwa utulivu
Ona sasa ulivyo na akili fupiHalafu Waislamu tupu (masharubu yao) Zito Kabwe anazidi kuwachongea Waislamu wa TZ kwa D.Trump, moja kati ya sababu ya nchi yetu kupigwa biti ni Uislamu pia, ingawaje hamtaki kukubali.
Tutaunga mkono yeyote anayehangaikia kuondoa udikteta na mauaji nchini Tanzania"Tumefika salama Toronto, Canada. Tunaendelea na ziara yetu ya kimataifa, kuonana na Watanzania wanaoishi nje ( diaspora) na kuzungumza na Serikali za Nchi hizo na Taasisi za Kimataifa ili kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa Tanzania unakuwa Huru, wa Haki na unaoaminika."
View attachment 1344360
Ataupata wapi? Mark ofisi yake iko south Africa, hao Ni global dealersHapo Toronto asisahau kufika ofisi za Barick wampatie mkataba walioingia na magufuri, bado watanzania tunaimani kubwa kwamba ndani ya mkataba huo uwezo wa serikali yetu kulisimamia sheria hizo umewekwa wazi, na pia, neno faida za kiuchumi limetafsiriwa sawasawa na ninamna gani serikali iliachichia achia karibia noa milioni 65 burebure
They must have copies circulating to most of the champs at head quarters. The whole thing made lots of headlines in toronto when professor osolo came up with a bill which could have bankrupted them.Ataupata wapi? Mark ofisi yake iko south Africa, hao Ni global dealers
kumbe North Korea iliyowekewa vikwazo na Trump ni nchi ya kiislamu? acha ujingaHakuna nchi ya Kikristo iliyopata Trump ban, ulishawahi kusikia chochote kuhusu Trump administration‘s Muslim ban?
kumbe North Korea iliyowekewa vikwazo na Trump ni nchi ya kiislamu? acha ujinga
Kwa nini? Mimi hata mlango wa Kanisa siujui!