Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Hapana, kuwa mkweli kwa nafsi yako, mind you I am Christian pia but suala LA kuweka uislam ni ujingaKwa kuwa tu wewe hauoni haimaanishi kwamba kila mtu haoni!
Hapana, kuwa mkweli kwa nafsi yako, mind you I am Christian pia but suala LA kuweka uislam ni ujingaKwa kuwa tu wewe hauoni haimaanishi kwamba kila mtu haoni!
Swali muhimu sana.Hivi tume huru inatakiwa iundwe na nani? Iwe na muundo wa uongozi wa namna gani? Walioko ndani ya tume wapatikane kwa njia gani na wadumu kwa muda gani?
Nafikiri tuchangie mawazo juu ya tume huru maana ni kama inanukia.
Sasa umehamia kwenye udini pimbi wewe, na badoHalafu Waislamu tupu (masharubu yao) Zito Kabwe anazidi kuwachongea Waislamu wa TZ kwa D.Trump, moja kati ya sababu ya nchi yetu kupigwa biti ni Uislamu pia, ingawaje hamtaki kukubali.
Nafikiri Wamarekani wamesema bila ya kuficha kwanini wamemuwekea BITI Makonda na Watanzania kwa jumla..Halafu Waislamu tupu (masharubu yao) Zito Kabwe anazidi kuwachongea Waislamu wa TZ kwa D.Trump, moja kati ya sababu ya nchi yetu kupigwa biti ni Uislamu pia, ingawaje hamtaki kukubali.
Nilikueleza kuwa Zitto anachukua uongozi wa upinzani. Chadema bye bye (ni kawaida kila baada ya miaka 10)Ingependeza zaidi mambo haya yakafanyika kupitia umoja wa wapinzani na wanaharakati wengine wa humu nchini wanaotaka uchaguzi huru na wa haki.
Wanaotaka kutusaidia watafanikiwa ikiwa kwanza sisi wenyewe tutakuwa wamoja
Mtashika miti yote na bado hamtakuwa salamaNilikueleza kuwa Zitto anachukua uongozi wa upinzani. Chadema bye bye (ni kawaida kila baada ya miaka 10)
Chadema bye bye, ACT ndani ya nyumba kama chama Kikuu cha upinzani Tanzania
Nafikiri Wamarekani wamesema bila ya kuficha kwanini wamemuwekea BITI Makonda na Watanzania kwa jumla..
Hizo propaganda zako za kidini kamwambie mchumba wako..
hii move hata sisi tulioko huku CCM tunaipa big up sana maana pakusemea hatuna!"Tumefika salama Toronto, Canada. Tunaendelea na ziara yetu ya kimataifa, kuonana na Watanzania wanaoishi nje ( diaspora) na kuzungumza na Serikali za Nchi hizo na Taasisi za Kimataifa ili kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa Tanzania unakuwa Huru, wa Haki na unaoaminika."
View attachment 1344360
Ataenda ugandaMeko alijisahau sana sasa akijichanganya akafanya mauijinga yake kwenye uchaguzi wa mwaka huu nadhani ajiandae kushuhudia maandamano yasiyo na kikomo halafu alivyo bwege hana hata nchi ya kukimbiza lile liupara lake
Aliyoyaeleza waziri wa Mambo ya nje ya Marekani na Main stream media yepi yana Ukweli?..Main stream media za USA zimeandika Trump adminstration extends ban on 6 Muslim majority countries, sasa unabishana mainstream media za Muzungu?
Aliyoyaeleza waziri wa Mambo ya nje ya Marekani na Main stream media yepi yana Ukweli?..
Kwani Tanzania ni nchi ya Kiislamu??
Wenye uwezo na mamlaka ya kuamua uchaguuzi uwe huru, haki na kuaminika ni serikali ya jamhuri ya muungano wa anzania kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama na tume ya taifa ya uchaguzi , sio diaspora wala serikali ya nchi nyinginge."Tumefika salama Toronto, Canada. Tunaendelea na ziara yetu ya kimataifa, kuonana na Watanzania wanaoishi nje ( diaspora) na kuzungumza na Serikali za Nchi hizo na Taasisi za Kimataifa ili kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa Tanzania unakuwa Huru, wa Haki na unaoaminika."
View attachment 1344360
Kwani unafikiri main stream media za Wazungu hazisemi uongo??Main stream media za USA zimeandika Trump adminstration extends ban on 6 Muslim majority countries, sasa unabishana mainstream media za Muzungu?