Makonda ni Muislam wa kanisa la Kakobe, au siyo?Halafu Waislamu tupu (masharubu yao) Zito Kabwe anazidi kuwachongea Waislamu wa TZ kwa D.Trump, moja kati ya sababu ya nchi yetu kupigwa biti ni Uislamu pia, ingawaje hamtaki kukubali.
Hata aliyeko Magogoni yupo kwa faida ya Makonda na Jesca.Mwenzako yuko huko kutafuta pesa za mabeberu na watz wabeba mabox unafikiri yuko hupo kwa manufaa yako!
Kumbe wa Pemba si Watanzania?Sura zote za kipemba kasoro Zitto Kabwe tu
Baada ys kupoteza umashuhuru nchinini na kudharaulika kwa kua kibaraka zitto anatafuta umashuhuri nje ya nchi. Anafikiri nchi za magharibi wataweza kumsimika kama kiongozi wa tz. Waafrika siku hizi wameamka. Kama nchi za magharibi walishindwa kumuweka fayulu congo ndio waweze kumuweka zitto tz?"Tumefika salama Toronto, Canada. Tunaendelea na ziara yetu ya kimataifa, kuonana na Watanzania wanaoishi nje ( diaspora) na kuzungumza na Serikali za Nchi hizo na Taasisi za Kimataifa ili kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa Tanzania unakuwa Huru, wa Haki na unaoaminika."
View attachment 1344360
Habari njema hii, Wadau-wa-Maendeleo, ulimwengu na waTanzania waliopo nje kufahamu yanayoendelea Tanzania kisiasa, kiJamii na kiUchumi.
Bila shaka katika azma ya kuikomboa nchi kutoka kwenye utawala wa kiimla, wapinzani wote wapo upande huo huo mmoja. Hilo ndilo la mhimu zaidi kwa sasa kuliko kupoteza muda na hizo taratibu za kimiundo ya umoja huo.Ingependeza zaidi mambo haya yakafanyika kupitia umoja wa wapinzani na wanaharakati wengine wa humu nchini wanaotaka uchaguzi huru na wa haki.
Wanaotaka kutusaidia watafanikiwa ikiwa kwanza sisi wenyewe tutakuwa wamoja
Mnaomjibu huyo ndio mnaomtia nguvu aendeleze matapishi yake.Nafikiri umefakamia kilevi, kikipungua kichwani uliza tena swali lako kwa utulivu
Rwanda; ni hapo jirani tu na Chato.Meko alijisahau sana sasa akijichanganya akafanya mauijinga yake kwenye uchaguzi wa mwaka huu nadhani ajiandae kushuhudia maandamano yasiyo na kikomo halafu alivyo bwege hana hata nchi ya kukimbiza lile liupara lake
Wakati wa awamu ya nne Zitto alikuwa kimya kwa sababu Rais alikuwa mwislamu. Huyu jamaa ni mdini sana.Halafu Waislamu tupu (masharubu yao) Zito Kabwe anazidi kuwachongea Waislamu wa TZ kwa D.Trump, moja kati ya sababu ya nchi yetu kupigwa biti ni Uislamu pia, ingawaje hamtaki kukubali.
Unategemea kagame ataweza kumpokea mtu wa sampuli hii kweliRwanda; ni hapo jirani tu na Chato.
Wakati mseven nae anatafuta sehemu ya kwenda kujificha maana anachukiwa hadi na sisimizi wa ugandaAtaenda uganda
Halafu Waislamu tupu (masharubu yao) Zito Kabwe anazidi kuwachongea Waislamu wa TZ kwa D.Trump, moja kati ya sababu ya nchi yetu kupigwa biti ni Uislamu pia, ingawaje hamtaki kukubali.
Chuki za DINI hazikusaidii chochote zaidi utabaki kulalama mitandaoni umu utaumwa ugonjwa wa moyo.Halafu Waislamu tupu (masharubu yao) Zito Kabwe anazidi kuwachongea Waislamu wa TZ kwa D.Trump, moja kati ya sababu ya nchi yetu kupigwa biti ni Uislamu pia, ingawaje hamtaki kukubali.
matapeli na wezi wa CCM tu ndio waliozuiwa.Kaenda marekani mbona yeye hajazuiwa..?
Agizo si la kila mtanzania au ni la kibaguzi..?
Hahahahaaaaaaaa
zitto akifanikisha kuwatoa mabwenyenye CCM tutamkumbuka daima kama mpigania hakiGo zitto hata Nyerere ilimbidi kwenda ubeberuni kwenda kudai uhuru baada ya kuona jitihada za hapa nyumbani zinagonga mwamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ukweli usiopingika mkuu. Ilibidi wakae kwa pamoja kwanza na sio uwakilishi wa chama kimoja. Au ndiyo siasa ?Ingependeza zaidi mambo haya yakafanyika kupitia umoja wa wapinzani na wanaharakati wengine wa humu nchini wanaotaka uchaguzi huru na wa haki.
Wanaotaka kutusaidia watafanikiwa ikiwa kwanza sisi wenyewe tutakuwa wamoja
Wafanyie hapa hapa Tanzania ya Magufuli?Watapewa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha Mara moja.Ingependeza zaidi mambo haya yakafanyika kupitia umoja wa wapinzani na wanaharakati wengine wa humu nchini wanaotaka uchaguzi huru na wa haki.
Wanaotaka kutusaidia watafanikiwa ikiwa kwanza sisi wenyewe tutakuwa wamoja