Picha: Zitto akiongoza harakati za kupigania uchaguzi huru na wa haki huko nchini Marekani

Acha unaa wewe! Saudia ni rafiki mkubwa wa US jee wao ni Pentekoste?


Hakuna nchi ya Kikristo iliyopata Trump ban, ulishawahi kusikia chochote kuhusu Trump administration‘s Muslim ban?
 
 
Tutaunga mkono yeyote anayehangaikia kuondoa udikteta na mauaji nchini Tanzania
 
Ataupata wapi? Mark ofisi yake iko south Africa, hao Ni global dealers
 
Ataupata wapi? Mark ofisi yake iko south Africa, hao Ni global dealers
They must have copies circulating to most of the champs at head quarters. The whole thing made lots of headlines in toronto when professor osolo came up with a bill which could have bankrupted them.
 
Meko alijisahau sana sasa akijichanganya akafanya mauijinga yake kwenye uchaguzi wa mwaka huu nadhani ajiandae kushuhudia maandamano yasiyo na kikomo halafu alivyo bwege hana hata nchi ya kukimbiza lile liupara lake
 
Zito bonge la nafiki we subiri akiwagonga chenga ya mwili mtamwelewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…