Huo uwezo mngekuwa nao mngeshavitilia mbali ibaki CCM ,TLP,UDP,CUF&co.Badilisheni tu katiba tujue moja.Unaposema uchaguzi huru na haki sijui huwa mnamaanisha nini? Ebu jiulize kwanza Donald Trump alipatikanaje ndipo mweze kwenda kujikomba kwa wazungu!!chadema na AcT wazalendo ni vyama ambavyo vinastahili kufutwa Tanzania
Mpaka sasa hakuna mpinzania aliesema anapingana nae, means wako pamoja.Ingependeza zaidi mambo haya yakafanyika kupitia umoja wa wapinzani na wanaharakati wengine wa humu nchini wanaotaka uchaguzi huru na wa haki.
Wanaotaka kutusaidia watafanikiwa ikiwa kwanza sisi wenyewe tutakuwa wamoja
iudwe na CCM watupu kama ilivyo hivi sasaHivi tume huru inatakiwa iundwe na nani? Iwe na muundo wa uongozi wa namna gani? Walioko ndani ya tume wapatikane kwa njia gani na wadumu kwa muda gani?
Nafikiri tuchangie mawazo juu ya tume huru maana ni kama inanukia.
Atakimbilia RwandaMeko alijisahau sana sasa akijichanganya akafanya mauijinga yake kwenye uchaguzi wa mwaka huu nadhani ajiandae kushuhudia maandamano yasiyo na kikomo halafu alivyo bwege hana hata nchi ya kukimbiza lile liupara lake
Kwa hiyo kiccmccm waislamu hawatakiwi au hawana haki ya kushiriki siasa za Tanzania?Halafu Waislamu tupu (masharubu yao) Zito Kabwe anazidi kuwachongea Waislamu wa TZ kwa D.Trump, moja kati ya sababu ya nchi yetu kupigwa biti ni Uislamu pia, ingawaje hamtaki kukubali.
haya tumesha nyimwa 500mGenge la wakora hilo lisikupe homa,hata maalim seif aliizunguka dunia akarudi ,sasa kahamia ACT kujalibisha kete ya mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tume huru inatakiwa iundwe na nani? Iwe na muundo wa uongozi wa namna gani? Walioko ndani ya tume wapatikane kwa njia gani na wadumu kwa muda gani?
Nafikiri tuchangie mawazo juu ya tume huru maana ni kama inanukia.
Mbona wako pamoja silazima waendewote zitoyuko huko plus makam mwenyekiIngependeza zaidi mambo haya yakafanyika kupitia umoja wa wapinzani na wanaharakati wengine wa humu nchini wanaotaka uchaguzi huru na wa haki.
Wanaotaka kutusaidia watafanikiwa ikiwa kwanza sisi wenyewe tutakuwa wamoja