Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Samia amefungua nchi kwa pupa sana najua ikifika karibu na uchaguzi atapoteza mawaziri wake muhimu wengi kashfa za ufisadiMishipa ya aibu imewashika! Wanasubiri right time ipite kimya kimya!
Eti tena Taarifa ya NYARAKA muhimu ambazo ni moja ya uti wa mgongo wa uchumi wa Taifa waziri husika alikuwa hajuiHii nchi bwana sasa taarifa imetoka katika taasisi ambayo ipo chini ya Wizara yake bado wanajikemea wenyewe tena[emoji16][emoji23][emoji23]
Kama kuna jambo la kujifunza kutokana na utendaji wa mambo ndani ya serikali hii, hili la wanyama pori limefunua kila kitu.Mishipa ya aibu imewashika! Wanasubiri right time ipite kimya kimya!
Halafu kuna watu eti Legacy ya Magufuli haipo! Uzeni na safirisheni sasa hao wanyama tuone!Waziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana !
Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa wanyamapori na Maliasili mpaka hapo atakapopata taarifa kamili na kutoa maamuzi!
Kwa maelezo yangu haya hakuna tena usafirishaji wa wanyama pori hao kama jinsi ambavyo tangazo hilo la jana limetolewa na hiyo taasisi" amesisitiza Balozi Pindi Chana
View attachment 2251487
Chanzo: EATV
N:B Ni wazi ndani ya serikali hakuna mawasiliano kabisa hivi inawezekanaje waziri wa maliasili na utalii asiwe na taarifa na tangazo kubwa na nyeti kama lile?
Ni kweli waziri hakuwa na taarifa la na tangazo lile? Ni kweli waziri hakuambiwa kuhusu tangazo?
Wale Ni maridati kilugha tunaita mizigo ya nnchKuna wajinga walitetea uuzwaji wanyama pori nje ya nchi,sijui sasa wanajisikiaje?
Tatizo amezungukwa na walamba asali.Jamani mlio karibu na mheshimiwa Rais, please mwambieni awe mkali kidogo. Ile policy ya nidhamu ya moyoni haifanyi kazi, hawa watumishi wa chini yake wanamharibia.
Jamaniii!Waziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana !
Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa wanyamapori na Maliasili mpaka hapo atakapopata taarifa kamili na kutoa maamuzi!
Kwa maelezo yangu haya hakuna tena usafirishaji wa wanyama pori hao kama jinsi ambavyo tangazo hilo la jana limetolewa na hiyo taasisi" amesisitiza Balozi Pindi Chana
View attachment 2251487
Chanzo: EATV
N:B Ni wazi ndani ya serikali hakuna mawasiliano kabisa hivi inawezekanaje waziri wa maliasili na utalii asiwe na taarifa na tangazo kubwa na nyeti kama lile?
Ni kweli waziri hakuwa na taarifa la na tangazo lile? Ni kweli waziri hakuambiwa kuhusu tangazo?
Kuna haja ya kuwapata kina Hamza kazaa ktk nchi hiYani dunia nzima inapambana kuhifadhi wanyama..kuwaongezea ukubwa wa mbuga ili waendelee kuwepo..kuwalinda na ujangili ili wasije kuisha na kupotea.
Kumbe kuna watu wanaplan za kuuza hao wanyama..viongozi muwe na huruma na maisha ya mwanachi na nchi yetu hii.
Kama wamezidi chinjeni muwauzie watu hizo nyama mabuchani angalau wafaidi maliasili yao.
Kuhusu hilo zuiona naona ni kama kujikosha tu kwani hakuna sheria..sheria zinasemaje kuhusu hili.
Au mnasikiliza upepo.
Tambueni wanachi wasasa wanapata taarifa muda wowote na wanajua kila kinachoendelea huko serikalini.
Halafu 'genge' hili unaliunganisha na lile la akina 'Roast', nchi hii itasalimika kweli?Especisally , Kinana, JK, maza , Riziwani, Nchemba, January na Nape
Wa kutosha hiyo kabla na kabla ya Royal Tour,Toka tangazo lilipotoka wameshaondika wangapi?
Eti waziri ameoata tarifa mitandaoni akamua kulitolea maelezo .... hivi hapa tuna waziri kweli ...me nahisi tumepigwaIna maana waziri alikuwa hajapata taarifa kamili kuhusu usafirishaji wa wanyama pori....
Anyway kelele zimesaidia
Ova